Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde Jahazi Show

He is just using his right to express his opinions as enshrined under article 18 (1) in the United Republic of Tanzania constitution.But he needs to tread with great care because sometimes anatoa maoni yanayofedhehesha baadhi wa watu au taasisi.Some of his comments are derogatory, inflammatory and offesive.But on the positive side Kibonde ni mtangazaji na comedian mzuri na hivyo hutuburudisha wasikilizaji wake wa kipindi cha Jahazi Asilia.
 
Jamani hamjui kuwa Kibonde ni informer wa Jk maana japo anakaa Makuburi huwa anaenda pale Upanga kila jioni kupata madubai na kudodosa umbea wa kumpasha bosi wake JK
 
kitendo cha Mr II kutwaa ubunge kunamnyima raha Kibonde, leo kwenye kipindi cha Jahazi anapinga Mbunge kuitwa Mheshimiwa ...kisa Sugu kaingia mjengoni ...Shame on you :evil:Kibonde

:israel::israel::israel:
 
Kibonde! Kibonde!
Najua huyu mtu anashika mic kila siku na kusema atakalo, lakini siamini kama ni mtu anayestahili hata kujadili hoja kubwa kama hiyo. Hapo tu yaonyesha hajui ni kwa nini watu wanaitwa watukufu, waheshimiwa, nk.

Hivi kaeleza ni kwa nini anaona haifai? Maana kama ni elimu hata yeye hayuko kundi la wasomi!
 
Shameless!
Niliambiwaga kuwa ana mati*ti huyu, has anyone verified?
 
kibonde anamatiti kifuani kaka makubwa tu ka ya msichana..embu angalia tangazo la zain lile
 
Kibonde! Kibonde!
Najua huyu mtu anashika mic kila siku na kusema atakalo, lakini siamini kama ni mtu anayestahili hata kujadili hoja kubwa kama hiyo. Hapo tu yaonyesha hajui ni kwa nini watu wanaitwa watukufu, waheshimiwa, nk.

Hivi kaeleza ni kwa nini anaona haifai? Maana kama ni elimu hata yeye hayuko kundi la wasomi!

  1. Anadai kuitwa muheshimiwa kunamfanya mtu ajisahau
  2. Mbunge ni mtumishi wa wananchi
  3. Wananchi ndio Waheshimiwa kwani wao ndio waliomueka madarakani mbunge
My take:
Haka kajamaaa bwana Ni Kas*nge Mno.
 
Ajuae kuwa hajui na kung'ang'ania kuwa anajua ni mpumbavu na atakufa kipumbavu kama wewe.

Waandishi wengi wa habari kama wewe kwanza ni wale ambao walifeli elimu ya sekondari (REJECTS)au hawakupata kabisa wakaishia kuunga unga tu. Waliofaulu sekondari walikwenda vyuo vikuu hasa UDSM na vingine Kama sisi wewe onyesha CV yako ulisoma wapi taaluma zako.

Hii inajidhirisha kwenye maneno yako na mawazo yako hasa wakati uliopita wa kampeni. Suluhisho nenda kasome uwe mchambuzi makini kama Flora Nducha ambaye sasa anatuwakilisha watanzania. Acha umbea muachie mkeo. Omba msamaha openly kwa kumkashifu SUGU na wagombea wengine. Please copy from these guys, Charles Hillary, Jimmy Kabwe, J Nyaisanga and Missanya Bingi now Dr. to be.

niisubiri uchaguzi upite halafu nikupe somo mbumbumbu wa kwanza Tanzania.
 
Nilishasema awali,tusitoke nje ya mstari. Kama anayo hayo m... uliyosema hiyo ni shauri yake na mkewe. Hoja ni kuwa huyu ana abuse vyombo vya habari. Ni mwepesi mno kwanza kumlinganisha na Mheshimiwa Sugu na pili sisi wenye akili kumjadili. He is not worth our finger nails. PERIOD
 
kibonde anamatiti kifuani kaka makubwa tu ka ya msichana..embu angalia tangazo la zain lile
Wait a minute.......with all my due respect....
Dont u guys think this is going a bit too low - amounting to mediocrity???
The credibility of this forum is likely to be plunged into nothingness with such crap talk.
 
30458_400703272547_741272547_4516788_7119050_n.jpg
 
kitendo cha Mr II kutwaa ubunge kunamnyima raha Kibonde, leo kwenye kipindi cha Jahazi anapinga Mbunge kuitwa Mheshimiwa ...kisa Sugu kaingia mjengoni ...Shame on you :evil:Kibonde

:israel::israel::israel:

Jina linabaki pale pale tu ni mbunge basi halipindishwi atake asitake huo ndio ukweli sasa.

kwahiyo Mawaziri wana heshima ya kuitwa Mheshimiwa au sio?

Wait a minute.......with all my due respect....
Dont u guys think this is going a bit too low - amounting to mediocrity???
The credibility of this forum is likely to be plunged into nothingness with such crap talk.

kwenye thread ya kwanza niliwaambia hawa watu wapunguzi munkali ingwa Kibone aliwaudhi basi wamweleze tu kiubinadamu bila kumtusi ili ajuwe kuwa kuna wastaharabu huko wameangalia wakaona mapungufu yake kati jamii yestu esp kwa wanaharakati wa waendeleo ya nchi hii na yeye kuwatenga vijana wenzake na kuwasimanga sasa na hao aliowasimanga sasa ndio hao wamenda mjengoni na wata perform better zaidi

Pia nimewamba mkumbuke JF ni yetu tusije ihalibu kwa sababu ya mambo ya mtu mwingine tuuu aliongea upuuzi hapa

  1. Anadai kuitwa muheshimiwa kunamfanya mtu ajisahau
  2. Mbunge ni mtumishi wa wananchi
  3. Wananchi ndio Waheshimiwa kwani wao ndio waliomueka madarakani mbunge
My take:
Haka kajamaaa bwana Ni Kas*nge Mno.

Tatizo langu siyo kujadili watu kuitwa waheshimiwa au nk. Anaweza kuanzisha mjadala huo. Tatizo langu ni kama mazungumzo yake yameanzia kwa Sugu kuwa MP.

Kujadili hilo akianzia kwa Sugu, anakosea sana maana hata yeye hatujamjadili alivyo na kama kweli anastahili kuwa mwana habari au hata kuonekana ktk TV na matangazo ya Biashara. Zipo qualities za watu kuwa ktk kazi hizo na wengine pia hatuzioni kwake!
 
Huyu jamaa nimkimeo kweli hata mambo yake inaonekana hayako organized kwani hata kile kipindi cha Kibonde show huwa mimi sikielewi sijui anataka kuleta Jahazi kwenye TV Sijui!!!! angekuwa ana taaluma ya habari angekuwa creative kwa kile kipindi lakini inatia shaka kabisa yani ni hovyoo sanaa mimi nafikiri amwache tu SUGU awatumikie wananchi wa Mbeya.
 
Ajuae kuwa hajui na kung'ang'ania kuwa anajua ni mpumbavu na atakufa kipumbavu kama wewe.

Waandishi wengi wa habari kama wewe kwanza ni wale ambao walifeli elimu ya sekondari (REJECTS)au hawakupata kabisa wakaishia kuunga unga tu. Waliofaulu sekondari walikwenda vyuo vikuu hasa UDSM na vingine Kama sisi wewe onyesha CV yako ulisoma wapi taaluma zako.

Hii inajidhirisha kwenye maneno yako na mawazo yako hasa wakati uliopita wa kampeni. Suluhisho nenda kasome uwe mchambuzi makini kama Flora Nducha ambaye sasa anatuwakilisha watanzania. Acha umbea muachie mkeo. Omba msamaha openly kwa kumkashifu SUGU na wagombea wengine. Please copy from these guys, Charles Hillary, Jimmy Kabwe, J Nyaisanga and Missanya Bingi now Dr. to be.

niisubiri uchaguzi upite halafu nikupe somo mbumbumbu wa kwanza Tanzania.
Sio mwandishi ni EMSII wa harusi, kicheni pati, sendoff na sherehe za sisiem.
 
huyu jamaa ni msema ovyo tu, sijui hata huko nyumabni kwake anawruhusu wanae wasikie anayoyasma akiwa kazini?
Aisee jana nilisema hebu niwasikilize Clouds Supa branded FM radio wakati natoka ofisini japo huwa sio kawaida yangu kusikiliza hii radio na nikakuta na Kibonde akiwa hewani anaimba hizi nyimbo mbili.... Sikiliza mwenyewe hivi kweli hii radio lengo lao hasa ni kuburudisha au kupotosha WaTZ hasa vijana maana wengi wao wanaisikiliza sana??

View attachment 14565

View attachment 14564

My take: Many "sensible people" especially in Dar listens to this radio in the morning and evening on their way to and from work respectively. Sasa kama ujumbe wewenye ndio hivi nashindwa hata kuelewa tunaelekea wapi achilia mbali the most common listerners kwenye saluni za kike na kiume, house girls, taxi drivers etc..
 
Back
Top Bottom