GAMA LUGENDO
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 131
- 15
kitendo cha Mr II kutwaa ubunge kunamnyima raha Kibonde, leo kwenye kipindi cha Jahazi anapinga Mbunge kuitwa Mheshimiwa ...kisa Sugu kaingia mjengoni ...Shame on you :evil:Kibonde
:israel::israel::israel:
Kibonde! Kibonde!
Najua huyu mtu anashika mic kila siku na kusema atakalo, lakini siamini kama ni mtu anayestahili hata kujadili hoja kubwa kama hiyo. Hapo tu yaonyesha hajui ni kwa nini watu wanaitwa watukufu, waheshimiwa, nk.
Hivi kaeleza ni kwa nini anaona haifai? Maana kama ni elimu hata yeye hayuko kundi la wasomi!
Wait a minute.......with all my due respect....kibonde anamatiti kifuani kaka makubwa tu ka ya msichana..embu angalia tangazo la zain lile
kitendo cha Mr II kutwaa ubunge kunamnyima raha Kibonde, leo kwenye kipindi cha Jahazi anapinga Mbunge kuitwa Mheshimiwa ...kisa Sugu kaingia mjengoni ...Shame on you :evil:Kibonde
:israel::israel::israel:
Wait a minute.......with all my due respect....
Dont u guys think this is going a bit too low - amounting to mediocrity???
The credibility of this forum is likely to be plunged into nothingness with such crap talk.
My take:
- Anadai kuitwa muheshimiwa kunamfanya mtu ajisahau
- Mbunge ni mtumishi wa wananchi
- Wananchi ndio Waheshimiwa kwani wao ndio waliomueka madarakani mbunge
Haka kajamaaa bwana Ni Kas*nge Mno.
Sio mwandishi ni EMSII wa harusi, kicheni pati, sendoff na sherehe za sisiem.Ajuae kuwa hajui na kung'ang'ania kuwa anajua ni mpumbavu na atakufa kipumbavu kama wewe.
Waandishi wengi wa habari kama wewe kwanza ni wale ambao walifeli elimu ya sekondari (REJECTS)au hawakupata kabisa wakaishia kuunga unga tu. Waliofaulu sekondari walikwenda vyuo vikuu hasa UDSM na vingine Kama sisi wewe onyesha CV yako ulisoma wapi taaluma zako.
Hii inajidhirisha kwenye maneno yako na mawazo yako hasa wakati uliopita wa kampeni. Suluhisho nenda kasome uwe mchambuzi makini kama Flora Nducha ambaye sasa anatuwakilisha watanzania. Acha umbea muachie mkeo. Omba msamaha openly kwa kumkashifu SUGU na wagombea wengine. Please copy from these guys, Charles Hillary, Jimmy Kabwe, J Nyaisanga and Missanya Bingi now Dr. to be.
niisubiri uchaguzi upite halafu nikupe somo mbumbumbu wa kwanza Tanzania.
Aisee jana nilisema hebu niwasikilize Clouds Supa branded FM radio wakati natoka ofisini japo huwa sio kawaida yangu kusikiliza hii radio na nikakuta na Kibonde akiwa hewani anaimba hizi nyimbo mbili.... Sikiliza mwenyewe hivi kweli hii radio lengo lao hasa ni kuburudisha au kupotosha WaTZ hasa vijana maana wengi wao wanaisikiliza sana??
View attachment 14565
View attachment 14564
My take: Many "sensible people" especially in Dar listens to this radio in the morning and evening on their way to and from work respectively. Sasa kama ujumbe wewenye ndio hivi nashindwa hata kuelewa tunaelekea wapi achilia mbali the most common listerners kwenye saluni za kike na kiume, house girls, taxi drivers etc..
Michuzi hata aibu hana?