Ephraim Kibonde Jahazi Show

Yan uyu ni too much no mtu gani anajua kila ki2 ananikera sana uyu m2 anadhan atapelekwa ikulu kwa viti maalum hana akili hyo ovyo sana
 
Mimi nilipinga neno hili tokea mwaka 1986 pale tu walipoanza kuitana bungeni. Nadhani neno ndugu ni zuri lakini kama hawataki basi waitwe mtumishi mbunge kwani wao ni watumishi wetu.
 
kimsingi kibonde simkubali, anaendekeza mambo ya kitoto sio mtu wa kufikiri kwa kina, ni m2 wakuangalia hapa na si kule, alikuwa anaponda sana upinzani, ye anadhan upinzani una jitetea wenyewe, unatetea taifa lote bila kubagua, iwemo yeye na kizazi chao wote bila kubagua rangi,udini,ukabila,utajiri au umaskini..nilikuwa namheshimu sana jamaa, ila nilitokea kumdharau tokea kwenye ule mzozo wa sugu, na kaja kuthibitisha na kwenye uchaguzi....
 
Habari nilizozipata punde..

Mtangazaji wa clouds Fm Ephraim Kibonde ameitumia salamu Jamii Forums, home of great thinkers na ameshukuru na kuheshimu michango yake..

Sisi JF hatuhitaji salamu zake namshauri atume kwa wapenzi wa JAHAZI.
 
Katika sakata na sekeseke zima la uchaguzi na kabla ya hapo, Kibonde amekuwa si mtu wa analyse mambo yeye ni mtu wa kuongea tu bila kufikiri. Akifanya utani pia impact yake ni kuwa haipokelewi vyema na wasikilizaji. Hata akiwa MC kwenye sherehe mbalimbali ambazo wengine mmewahi kuhudhuria ni "borer"kinoma. Anachozungumza kwenye sherehe moja ni hicho hicho katika shughuli nyingine. Ni vyema nae akapisha wengiine kufanya kazi za "Jahazi"na MC..Kiufupi ameshamaliza muda wake wa kutumika.
 
Katika watu walojipatia umaarufu ni Kibonde na kipindi cha JAHAZI, Hgafla kaka huyu kaanza kuonyesha njaa zake waziwazi. Aliniboa sana wakati wa issue za wafanyakazi, alipomsema MGAYA ohh akadanganya watu kuwa anampigia simu mara imezimwa akatuwekea Mlio "the phone u are calling is not reachable" yani alibore.

Haya mara akaanza kujiingiza kwenye siasa yani hapo ndio alipoboa sanaaa, he doesnt even know watu wanajengaje hoja , nakurupuka na kupayuka payuka ovyoo tu. Amwangalie walau mwenzake Gadna yuko bise na utangazaji na mambo yake.

KIBONDE ukitaka kujifunza kukata issue, soma JF haswa SIASA forum. Ila binafsi sikuhizi hata sisikilizi clouds maana inabore
 

acheni ushabiki wa kijinga nyie. Kwani sugu atawafanya nini clouds???

Si anakuwa mbunge tu, labda muombe awe waziri kitu ambacho ni ndoto kwa kweli.

Chadema imefuliaaaaaaaaa
 
acheni ushabiki wa kijinga nyie. Kwani sugu atawafanya nini clouds???

Si anakuwa mbunge tu, labda muombe awe waziri kitu ambacho ni ndoto kwa kweli.

Chadema imefuliaaaaaaaaa

ignorance is bliss
 

kaka ulikuwa wapi masiku yote haya????!!!!

nice to hear from you comrade.
 
Sugu anza na fiesta. Ni uhuni mtupu. Lakini la zaidi hawalipi kodi. Hela wanakusanya ni nyingi mno halafu wantia mfukoni, Sugu upooooo. Nitakusaport na data nitakupa full

THIS TIME TRA , SOTOCA , BASATA ETC LAZIMA WATINGE Milangoni na kuhakiki vitabu vya tiketi. Hili linawaletea kiburi mbaya Clouds na vilaza wao. Sina wivu lakini kilicho cha Kaizar na apewe.
 
is a mwananchi who will be under mnyika administration... Anaishi mbezi morogoro road.

hapana , anakaa external makuburi/kibangu nyuma ya hostel mabibo. Ni muhanga wa makorongo ya barabara ile iendayo jeshini na kisukuru, na maji ya kunywa.

Assalaam alleykhum
 
Eti Kibonde naye yumo kwenye list ya Mkwere ya ......
 

kibonde huyu wa claus!!!! si anadaiwa bili ya bia tatu kwenye container moja hivi mtaani kwetu..huu mwezi wa 3 hajalipa!!!
 
kibonde bwana mtu wa ajabu sana.. nilimsikia jana anajikosha kuwa " watu wengine wanadhani ubunge ndo juu ya sheria". naona sasa ARV zake zinaanza kutoa majibu... haha kibonde bia moto huyoooooo!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…