Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde ndiyo nani?

Amandla.........

Ephraeim kibonde ni Mtanzania aliyelewa ka-ukaribu alikofanikiwa kukajenga baina yake na baadhi ya wanafamilia wa ikulu. pia huyu jamaa ni kada wa ccm ambae amekosa upeo wa kujua kutenganisha baina ya mapenzi yake kwa chama na mapenzi yake kwa taifa lake.
 
That's where we differ, Kibonde amefanya tutamani kusikiliza kile kipindi

He is good

if he is good na kile anchokiongea ndicho anachokiamini, basi aruhusu watu wawe wanapiga simu na ku-challenge mawazo yake, au awe anakaribisha wageni wataokuwa a opposing views, vinginevyo atakuwa anafanya propaganda tu!
 
Mwambie na sisi tunashukuru kwa kulitangaza jukwaa hili,Long live Clouds FM,Long live Kabonde,last but not leastly...Long live Jambo Forums,God bless Jamii Forums,God bless Tanzania,God bless Africa!!
Dah leo hayupo 😒 😒
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Apumzike tu kwa amani
 
Jamaa kaingia studio tu mida kama ya saa kumi na nusu, kitu cha kwanza kusema eti " nilikuwa nasoma mtandao wa jamii forums sa-sa hivi kabla sijaingia hapa"....unafanya mchezo na vichwa vya JF
enzi hizo JF haijavamiwa na vijana wa hovyo, ukiikosa hewani unatamani iwe ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…