ni kweli JK alipiga simu? basi tumeishi miaka mitano bila raisNdiyo aliyebuni kipindi cha "Birthday ya JK". Watu wakashiriki (na JK mweyewe kwa kupenda mambo ya hovyohovyo alishiriki) kupiga simu.
Kibonde ni chizi
Usingesema wapi uliusikia huo wimbo ningedhani uliimbwa bar baada ya mtu kukolea kilevi sawasawa.
upuuzi mnaoongeaga hakuna mtu anapenda.....hana akili kichwani....au anavyosambaza ngoma makusudi mitaani anadhani hatumuoni...ni antivirus.
je huu si unyanyapaa ? Wewe umepima ? Mbona yule demu wako uliyempa mimba kafa kwa ukimwi lakini sisi hatukunyanyapai ?usingesema wapi uliusikia huo wimbo ningedhani uliimbwa bar baada ya mtu kukolea kilevi sawasawa.
je huu si unyanyapaa ? Wewe umepima ? Mbona yule demu wako uliyempa mimba kafa kwa ukimwi lakini sisi hatukunyanyapai ?
I must say his rendition of "You picked a good time Fine time to leave me Lucille" was an embarassing guilty pleasure
Kwa kweli mnaoisikiliza redio hiyo mna roho ngumu!
mimi niliishaacha kusikiliza clouds kwa sababu ya upumbavu wa kibonde................anawapotosha watz..........natamani nionane naye nimtwange risasi
Aisee jana nilisema hebu niwasikilize Clouds Supa branded FM radio wakati natoka ofisini japo huwa sio kawaida yangu kusikiliza hii radio na nikakuta na Kibonde akiwa hewani anaimba hizi nyimbo mbili.... Sikiliza mwenyewe hivi kweli hii radio lengo lao hasa ni kuburudisha au kupotosha WaTZ hasa vijana maana wengi wao wanaisikiliza sana??
View attachment 14565
View attachment 14564
My take: Many "sensible people" especially in Dar listens to this radio in the morning and evening on their way to and from work respectively. Sasa kama ujumbe wewenye ndio hivi nashindwa hata kuelewa tunaelekea wapi achilia mbali the most common listerners kwenye saluni za kike na kiume, house girls, taxi drivers etc..