Aisee jana nilisema hebu niwasikilize Clouds Supa branded FM radio wakati natoka ofisini japo huwa sio kawaida yangu kusikiliza hii radio na nikakuta na Kibonde akiwa hewani anaimba hizi nyimbo mbili.... Sikiliza mwenyewe hivi kweli hii radio lengo lao hasa ni kuburudisha au kupotosha WaTZ hasa vijana maana wengi wao wanaisikiliza sana??
View attachment 14565
View attachment 14564
My take: Many "sensible people" especially in Dar listens to this radio in the morning and evening on their way to and from work respectively. Sasa kama ujumbe wewenye ndio hivi nashindwa hata kuelewa tunaelekea wapi achilia mbali the most common listerners kwenye saluni za kike na kiume, house girls, taxi drivers etc..