Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde Jahazi Show

Aisee jana nilisema hebu niwasikilize Clouds Supa branded FM radio wakati natoka ofisini japo huwa sio kawaida yangu kusikiliza hii radio na nikakuta na Kibonde akiwa hewani anaimba hizi nyimbo mbili.... Sikiliza mwenyewe hivi kweli hii radio lengo lao hasa ni kuburudisha au kupotosha WaTZ hasa vijana maana wengi wao wanaisikiliza sana??

View attachment VN00015-20101001-1903.mp3

View attachment VN00014-20101001-1902.mp3

My take:
Many "sensible people" especially in Dar listens to this radio in the morning and evening on their way to and from work respectively. Sasa kama ujumbe wewenye ndio hivi nashindwa hata kuelewa tunaelekea wapi achilia mbali the most common listerners kwenye saluni za kike na kiume, house girls, taxi drivers etc..
 
Huyu jamaa bogus tangu zamani, watu wa Upanga wanamjua tangu anaimbisha mchakamchaka Muhimbili hata hawawezi kushangaa kitu. Wasiomjua tu ndio wanaoweza kushangaa.

Lakini katika kila jamii kuna watu wanafurahia ukaragosi huu.

Halafu kesho mtangazaji katuni huyu huyu anataka kuwaambia watu jinsi ya kupiga kura.

I must say his rendition of "You picked a good time Fine time to leave me Lucille" was an embarassing guilty pleasure

http://www.youtube.com/watch?v=1GVr1l7Xbko

 
Last edited by a moderator:
He is disgrace. Mpaka sasa siwezi hata kuelewa what point was he trying to make. Watu wengine hawakutakiwa hata kwenad mbele ya mic.
 
Kibonde kiboko yake Mr II (AKA Sugu!). Kwenye album ya Anti virus ameweka wazi, KIBONDE HANA AKILI KICHWANI Full stop!.
 
Aisee jana nilisema hebu niwasikilize Clouds Supa branded FM radio wakati natoka ofisini japo huwa sio kawaida yangu kusikiliza hii radio na nikakuta na Kibonde akiwa hewani anaimba hizi nyimbo mbili.... Sikiliza mwenyewe hivi kweli hii radio lengo lao hasa ni kuburudisha au kupotosha WaTZ hasa vijana maana wengi wao wanaisikiliza sana??

View attachment 14565

View attachment 14564

My take: Many "sensible people" especially in Dar listens to this radio in the morning and evening on their way to and from work respectively. Sasa kama ujumbe wewenye ndio hivi nashindwa hata kuelewa tunaelekea wapi achilia mbali the most common listerners kwenye saluni za kike na kiume, house girls, taxi drivers etc..

Ndiyo aliyebuni kipindi cha "Birthday ya JK". Watu wakashiriki (na JK mweyewe kwa kupenda mambo ya hovyohovyo alishiriki) kupiga simu.

Kibonde ni chizi
 
Huyo ni baba wa watoto wawili, Unbelievable! Sijui tunajenga jamii gani siku hizi? TCRA inabidi wawe wanatoa maonyo kwa hawa jamaa.
 
Dah! Jamaa mkali yaani, kama namuona Cane Roger na kibao chake Lusi.
 
Inanipa wasi wasi kua clouds ina wasikilizaji weng sababu tuu ya kutaka kusikia Kibonde ataongea ujinga gani, hiyo naona ni bonge la mpango wa kukusa rating za radio yao, ingawa hatuna uhakika hizo ratings ni za uhakika au vipi na hili ndio kifo kingine kwa broadcasting industry, maana Ruge kaisha wakamata hawa wa Super Brand na hapo ndio tatizo lingine linakuja ukitoa wasanii wa TZ.
 
Kwa kweli mnaoisikiliza redio hiyo mna roho ngumu!
 
Usingesema wapi uliusikia huo wimbo ningedhani uliimbwa bar baada ya mtu kukolea kilevi sawasawa.
 
upuuzi mnaoongeaga hakuna mtu anapenda.....hana akili kichwani....au anavyosambaza ngoma makusudi mitaani anadhani hatumuoni...ni antivirus.
 
Back
Top Bottom