Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde Jahazi Show

KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO


Yaani pendekezo lake ndo liwe pendekezo letu? yeye ni nani mpaka uje kutumalizia muda wa kutafakari muktakabali wa nchi?

Who the hell is she?

Au wewe ndo kibonde chenyewe unataka umaarufu?
 
mmmmh,i get it impossible kwa kibonde kusema hivo hata chumbani kwake achilia mbali redioni ingawa ndio ukweli halisi kwamba imechokwa
 
Kwa nini kila siku hapa JF ni KIBONDE...KIBONDE...KIBONDE TUUU??...mna mkweza sana huyu mtu hovyo kabisa...mnatuharibia holidays zetu jamani
 
Kibonde is rotten - mwacheni ajiishie mwenyewe msije akasingiziwa janga
 
Kweli CCM wanaroho mbaya sana, yaani debe loooote alilopiga huyu dada wamemnyima ubunge wa viti maalumu?Kweli fadhili mfadhili mbuzi,binadamu atakuudhi tu.Pole dada Kibonde
 
Hivi huyo Kibonde ni influential sana eeeh? Mana kila siku humu Kibonde Kibonde...

Inashangaza!!

Namkumbuka alipoaanza na kipindi cha michezo Radio One (Kama sikosei) alikuwa mtangazaji bomu sijawahi ona lakini siku hizi kila siku ni Kibonde..!! Inaelekea ame-improve sana.......................toka nilipomsikia siku ya kwanza!!!
 
Wapuuzi wote wana JF, tena nyie ni wa****.
Nimelazimika kutukana ila sio tabia yangu,
Mimi nshaacha kitambo kumsikiliza huyo pimbi Kibonde kwa namna anavyojifanya ana taaluma ya kila kitu.Niliwahi kujiuliza ana Ph D general
au ni kitabia cha kuwaona wabongo wote ni wajinga?
Wanawake wababaishaji na dhaifu ndio hujipendekeza kwa JK + Ridhiwan,wanawake hodari hu excele kimpango wao,sasa wewe Kibonde mwili wa kiume umetoa wapi mambo ya kujipendekeza?
JK ataondoka 2015 ,Ridhiwan boya angegombea ubungo tumfunze nidhamu.
 
Bado hawajaona maajabu,Mungu si mwanadamu.Wataanguka waliodhani wamesimama,humwinua mtu kutoka mavumbini hadi kumkalisha na wakuu.
 
Hivi huyo Kibonde ni influential sana eeeh? Mana kila siku humu Kibonde Kibonde...

.
Huyu ni mtu wa namna ya Makamba vile. Kwani makamba akipewa uwanja ajimwage kila siku bila kufungwa speed gavernor vyombo vyote vya habari vingemfanya kuwa habari kuu. Kila kundi la wanajamii linamhitaji kumtumia kwa maslahi binafsi.
 
Hivi huyo Kibonde ni influential sana eeeh? Mana kila siku humu Kibonde Kibonde...
NN ni Influential wapi? si kwenye kiredio clouds kinachosikika Dar tu? is a nut! Nashangaa watu wa Dar mnamsema wee mpaka anapata kichwa.
 
2 hell with his comments, anashtuka leo baada ya kuwa kashawapigia debe na kuwapa kura yake. Idiotic bastard.
Na wewe usituletee habari zake tena.
Au ndo kakutuma umsafishe???
 
Magufuli, Kikwete, Pinda, Slaa, Zitto, Mbowe n.k hawaiongozi nchi peke yao . Hicho ndicho watu wengi wamesahau. Tunaweka matumaini kwa mtu mmoja atuletee maendeleo pasipo kuwa na nia ya kweli. Tutabaki kuwa wachambuzi na wakosoaji wazuri. Nia na mwamko wa maendeleo viamshwe miongoni mwetu tukemee ubadhirifu katika halmashauri zetu, tuwe mstari wa mbele kuhimiza kilimo vijijini mwetu, tuwape elimu bora wananchi juu ya utunzaji wa mazingira na tukemee suala la watoto kuzurura mitaani. Kwa kifupi tuwe na nia na iwe ndio mwenendo wa maisha yetu. Wakati wa Nyerere tuliweza lakini sio sasa wakati wa mimi fulani na yule fulani. Hakuna maendeleo yatakayoletwa na fulani kama sisi tutakaa pembeni na kumwangalia mtu huyo atuletee hayo maendeleo yeye sio MUNGU ama malaika wa miujiza.
 
Albert Einstein once said - The problem which exist in the world today can not be solved by the people who created them.

The problems we are facing as Tanzanians were created by the corrupt system of CCM. Magufuli is the part of the system, so we should not put much expectation on Magufuli, he is the part of the broken system.
 
Kibonde ni nani ? MwanaMke au Mwanaume, au Mtabili kama Shehe Feki Yahya, maana kila siku Kidonde maji!!!
 
Tukumbuke Mambo makubwa ya John Pombe Magufuli Enzi Hizo
(i) Aliadabisha na kufukuza wahandisi wazembe 224 Wizarani
(ii) Alizifuta kampuni hewa za makandarasi zaidi ya 1000
(iii) Alirudisha magari, mitambo na pikipiki zikiwa mali za serikali zaidi ya 21,000 na kuyasajili upya mfano PT,DFT,STK, US n.k zoezi hili liliigwa na Kenya na Uganda
(iv)Alimwadabisha mkandarasi aliyekuwa akijenga barabara ya Dsm-Bagamoyo kwa kutotii mkataba kitu kilichompelekea kufilisika
(v) Aliahidi kusafiri kutoka Mtwara kwa taksi mpaka Bukoba-ndoto imetimia
(Vi) Na mengine mengi mtayaongezea

Huu ndio uzalendo tunaoutaka " matumizi mazuri ya hela ya walipa kodi" hakuna ubishi watanzania wameiona kazi yake!


Uzalendo wa kuuza Nyumba za serikali? kamwe hatasamehewa kwa hilo mpaka nyumba zote zirudi serikalini
 
Back
Top Bottom