Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde Jahazi Show

Nikinunua bastola naanza naye ni shoga wa siku nyingi na ana ngoma sikiliza anti virus ya mbunge wa mbeya utajua kibonde ni nani
 
Hv bado yuko Clouds Radio? Niliacha kuisikiliza kwa sababu yake. He's such a nut and a pitiable CCM marionette, who don't portray impartiality and so lack of prejudice when commentating/ reporting or analyzing. He needs to get his shit back to school to know the ethics and basics.
 
It is a wastage of time to discuss Kibonde in this forum, nilimsikiliza siku moja nikagundua hana tool of analysis. How comes a form four failurer akachambua issues zinazohusu taifa hili? Leteni issues tuchangie please.
 
nikinunua bastola naanza naye ni shoga wa siku nyingi na ana ngoma sikiliza anti virus ya mbunge wa mbeya utajua kibonde ni nani

kabisa hata mimi nikinunua panga naenda fungua bucha clouds fm kuna snichaz wengi sana pale
 
Na ninyi wanajamiiF MNABORE
Kila kukicha kibonde,jua likizama kibonde tumeshamdiscuss sana inatoshaaaaaaa!!

Na leo anaanza kipindi watangazi wa kike rasmi akina Regina na mwenzake
Kesho utaona tena topic hapa ya kibonde.
Mods ondoeni post zitakazomhusu huyu jamaa?!!

Jadili hata safari ya kwanza ya mh JK plse!!
 
Kibonde kweli hana facts nilidhani wanamsingizia ufyongo?

Tatizo la mgao wa umeme ni kuwa songas is not supplying gas to capacity? Hiyo mitamnbo ya wezi(dowans) hata ukiwasha leo gesi watatoa wapi??

Sijui katumwa huyu
 
Kibonde kilaza tu kama jina lake.we hujui ukimwita mwanao shida atakuwa wa shida ivo ivo so kibonde ni kibonde hadi kichwani.
 
ROSTAM AZIZ.jpgkibonde ni kilaza ka huyu jamaa hapa aliyekunja nne.
 
Nilishawahi kusema,hakuna haja ya kubishana na huyo kada wa kijani ****** kibonde,hoja zake nyingi hazin
a mashiko zaidi ya kujikomba kwa mafisadi.Kibonde huyo tangu aanze kukaribishwa IKULU huku amevaa
vile vikaunda suti vyake vilivyombana anajidai kwamba anaijua sana hii nchi na hayuko tayari kwa mabadiliko
,msikilizeni kwa mfano anapochangia hoja za katiba mpya,anasema eti sio wakati muafaka kuwa na katiba m
pya, mshenzi kweli kibaraka huyo.
 
Kibonde mzee wa kubwabwaja... Anatafuta popularlity, ili kesho msikie anagombea udiwani sijui ubunge...
 
Mwenzenu anusaka u-DC, si unajua ameshaona kwa watangazaji wenzake, Betty, Sarah Dumba etc, sema yeye akili hana, anajifanya anajua kila kitu
 
Kibonde kweli hana facts nilidhani wanamsingizia ufyongo?

Tatizo la mgao wa umeme ni kuwa songas is not supplying gas to capacity? Hiyo mitamnbo ya wezi(dowans) hata ukiwasha leo gesi watatoa wapi??

Sijui katumwa huyu

Akirekebisha 'dental structure' yake anaweza akaongea mambo ya maana. Nadhani tatizo ndilo hilo.
 
Back
Top Bottom