Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama unaoga mtoni na kaja chizi akabenga nguo zako na wewe ukaanza kumkimbiza mpaka mjini basi wewe ndio utaoneka chizi kuliko chizi mwenyewe
Huyu bwana keshajadiliwa sana humu na anaonekana ana upungufu wa Akili wa kujitakia, hivyo na watu tukiendela kumjadili humu basi tutaonekana sisi ni wehu kuliko huyo,
Hana Hadhi ya Kujadiliwa tena humu JF
lakini mara nyingi sana nimebahatika kumsikia Jamaa huyu akiropoka sana,
Jamaa siku hizi akimuona Mr.2 roho huwa inamuuma sana kiasi kwamba hizi porojo anazozifanya ni katika maandalizi ya kugombea ubunge 2015,hivyo tumchukulie kama mkosaji.
kama unaoga mtoni na kaja chizi akabenga nguo zako na wewe ukaanza kumkimbiza mpaka mjini basi wewe ndio utaoneka chizi kuliko chizi mwenyewe
Huyu bwana keshajadiliwa sana humu na anaonekana ana upungufu wa Akili wa kujitakia, hivyo na watu tukiendela kumjadili humu basi tutaonekana sisi ni wehu kuliko huyo,
Hana Hadhi ya Kujadiliwa tena humu JF
Lakini bado anaharibu sana jamii... ni mtu hatari sana na uchizi wake huyu basi atafutiwe mbinu za kupelekwa milembe. Ni mwehu sawa but wangapi wanaelewa kama ni mwehu na anaongea na Nusu ya wa TZ kama si robo tatu kwa kutumia clouds.
Huyu atafutiwe dawa ili apunguze madhara kwa jamii kwa kupotosha ukweli akitumia redio.
Yaani wenzie wanazidi kuelemika, wanakwenda shule kupiga buku yeye ndo anazidi ku-decay, maskini weee, mimi hua namuonea huruma sana, hasa anavyoropoka ujingabogus presenter anaongea hadi matusi
amenunuliwa
kipindi hiyo siisikilizi cku hizi wanaboa
wao hata kuwe na msiba wanagonga muziki tu
wapi TCRA?
watu wako kwa masirahi ya Taifa mwenyewe anakenua meno kwa sababu kapewa mgao na MAFISADI
Thank you very much sir... ushauri huu ni zaidi ya dollar million mojakama unaoga mtoni na kaja chizi akabenga nguo zako na wewe ukaanza kumkimbiza mpaka mjini basi wewe ndio utaoneka chizi kuliko chizi mwenyewe
Huyu bwana keshajadiliwa sana humu na anaonekana ana upungufu wa Akili wa kujitakia, hivyo na watu tukiendela kumjadili humu basi tutaonekana sisi ni wehu kuliko huyo,
Hana Hadhi ya Kujadiliwa tena humu JF
watu wako kwa masirahi ya Taifa mwenyewe anakenua meno kwa sababu kapewa mgao na MAFISADI
mimi kwa maoni yangu,
kosa kubwa wanalofanya wanajahazi (especially huyo kibonde)....NI KUJADILI SIASA
kwa maoni yangu ni kwamba yule kijana kibonde hakuna anachokijua kuhusu siasa....