Samir Hamisi
Member
- Aug 14, 2013
- 13
- 5
hayakuhusu. tena ukome kunifuatilia. kichwa chako. nlishakuambia sikutaki, staki unimention wala kuniquote. usiniketee umacho mia wako hapa jf. mfuate alex unajua alipo.nakupa onyo tena achana na mimi sawa?. uzuri wa mwanamke ni tabia sio sura. umenielewa wee mwanamke?. poa. miahuna TV set wewe. Kujishaua tu
karibu sana wangu. miaNilishaacha kuangalia vipindi vyao siku nyingi sana......;sa sijui hili wazola kuhamishia TBC1 Madam amelitoa wapiitabidi nije mtaani kwenu uniimbie
hayakuhusu. tena ukome kunifuatilia. kichwa chako. nlishakuambia sikutaki, staki unimention wala kuniquote. usiniketee umacho mia wako hapa jf. mfuate alex unajua alipo.nakupa onyo tena achana na mimi sawa?. uzuri wa mwanamke ni tabia sio sura. umenielewa wee mwanamke?. poa. mia
Chuki binafsiImepoteza mvuto. Kuna mwaka nilienda pale coco kuimba duh!. Jamaa akaniuliza huna sauti nyingine nikamwambia sina. Akasema niimbe wimbo wa taifa, ile naanza tu akasema basi. Nikamuuliza utanijaji vipi hujaniskiliza? akasema hujui kuimba wewe tafuta fani nyingine hata kuchora. Nikaona wamenizingua mbele ya camera nikawasonya. J akasema ulikua umefanya vizuri, lakini kwa kuwa hujaonesha nidhamu hutufai. Nikawambia hamna mvuto. Na kweli kwenda tbc inaonesha wamechuja vibaya mno. Mia
Chuki binafsi
Siku hizi naona BSS inaonyeswa TBC na ukweli ni kwamba watazamaji wa TBC siku hizi ni wachache ukilinganisha na vituo vingine. Tena ni wale wenye milengo ya aina fulani isiyoshabikia mabadiliko kutokana na kuitetea serikali na kutokuonyesha taarifa zinazoipinga.Mi nilikuwa mtazamaji mzuri lakini tangu ihamie TBC nimekimbia kuangalia kwa kuwa siipendi TBC na style yake sasa sijui wengine vipi
mi naona ukimpa mkeo talaka ;watoto hawahusiki;au hawana hatia
Sisi wenye madish ya ft 6 ndio kabisa tulishasahau kama kuna TBC1