Epiq Bongo Star Search (EBSS) sasa kuoneshwa na TBC1

Epiq Bongo Star Search (EBSS) sasa kuoneshwa na TBC1

Kipindi Dodoo na wakweze walikikatiza sijui kwa nini tena bila hata notice yaani tulishtukia tu kipindi hakionyeshwi. Mwee wanakera!
 
huna TV set wewe. Kujishaua tu
hayakuhusu. tena ukome kunifuatilia. kichwa chako. nlishakuambia sikutaki, staki unimention wala kuniquote. usiniketee umacho mia wako hapa jf. mfuate alex unajua alipo.nakupa onyo tena achana na mimi sawa?. uzuri wa mwanamke ni tabia sio sura. umenielewa wee mwanamke?. poa. mia
 
Imepoteza mvuto. Kuna mwaka nilienda pale coco kuimba duh!. Jamaa akaniuliza huna sauti nyingine nikamwambia sina. Akasema niimbe wimbo wa taifa, ile naanza tu akasema basi. Nikamuuliza utanijaji vipi hujaniskiliza? akasema hujui kuimba wewe tafuta fani nyingine hata kuchora. Nikaona wamenizingua mbele ya camera nikawasonya. J akasema ulikua umefanya vizuri, lakini kwa kuwa hujaonesha nidhamu hutufai. Nikawambia hamna mvuto. Na kweli kwenda tbc inaonesha wamechuja vibaya mno. Mia
Chuki binafsi
 
Siku hizi naona BSS inaonyeswa TBC na ukweli ni kwamba watazamaji wa TBC siku hizi ni wachache ukilinganisha na vituo vingine. Tena ni wale wenye milengo ya aina fulani isiyoshabikia mabadiliko kutokana na kuitetea serikali na kutokuonyesha taarifa zinazoipinga.Mi nilikuwa mtazamaji mzuri lakini tangu ihamie TBC nimekimbia kuangalia kwa kuwa siipendi TBC na style yake sasa sijui wengine vipi
 
wameamua kutafuta watazamaji kwa nguvu
 
Vipindi vingi huwa vinaanzia itv, vinapatia umaarufu itv halafu vikihamia stesheni nyingine vinaenda kufa! BSS imepoteza umaarufu na ndio mwanzo wa kufa
 
Labda sababu mzee keshahalalisha kule kwingine hivyo huyu kaona hana chake tena! Just curious!
 
Sisi wenye madish ya ft 6 ndio kabisa tulishasahau kama kuna TBC1
 
Back
Top Bottom