Epiq Bongo Star Search - LIVE

Epiq Bongo Star Search - LIVE

Oy kuna site yoyote inayo onesha online hiyo mambo wengine tupo majuu
 
Salma she's not from ZENZIBERI BT FROM VENUS.. SHE DESERVED THE CROWN TOO. BIG UP TO HER!
 
My Predictions;
NAMBA 3 - WABABA
NAMBA 2 - SALMA
BINGWA 1 - CHILAMBO
Though shit happens!
PLEASE NOTE THE TIME.
 
Huku nilipo nasikia ubishi umesha kuwa ngumi, sijui ni dau walipinga!
 
Sasa namuona Salama J anapanda stejini na masta jei hapa wanataka kutusaplaiz..
 
Oh mama!salama na masta jei wanaonyesha ile staili mpya hapa mjini ya kubong'oa kama Dimondi na kundi lake..
 
Watu wanamshangilia sana salama wanapiga kelele avue trauza yote habaki na boxer.
 
Hizi mil 50 si maneno tu? Yani wampe zote kisa wanamjua sana?
 
Back
Top Bottom