EPISODE 01: Maisha yalivyo magumu kwa watoto wa kike wanaoenda Nje, hasa Asia

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Naaaam Jumapili fulan tulivu

Ewe Mzazi usithubutu kumruhusu mwanao Kwenda kufanya kazi Dubai , Thailand na Maeneo mengine ya Asia hasa akiwa wa kike

Hili ni suala gumu lakini muhimu kulizungumzia Wengi husikia "Dubai au China au Thailand ni pesa na kula maisha" lakini upande mwingine ni mateso mengi sana kwa dada zetu

Magumu na mateso wanayopitia wasichana wengi wanaoenda Dubai kwa lengo la "kujiuza"
NTAZUNGUMZIA KWA NAMN MBILI WANAOJIPELEKA NA WANAODANGANYWA

A)WANAODANGANYWA

1. Udanganyifu tangu mwanzo
Wengi hudanganywa na mawakala: "Kazi ya kuuza duka, hoteli, kupiga lashes". Wakiwafikia Dubai passport inachukuliwa. Hapo ndio mtego unaanza. Hawawezi kurudi, hawana vitambulisho.

2. Mazingira mabaya na vitisho
1. Kufungiwa ndani - Nyumba za maficho, bila simu, bila mawasiliano na familia.
2. Unyanyasaji wa kimwili - Kupigwa, kutishiwa silaha, kudharauliwa kila siku.
3. Madawa - Wengine wanalazimishwa kutumia madawa ili "wavumilie" au wadhibitiwe. Na pia wanapewa PREPS ili watembee na wateja bila kinga kwamba ndo utamu wenyewe

3. Afya na usalama
1. Magojwa - UKIMWI, magonjwa ya zinaa, mimba zisizotakiwa. Kliniki haziruhusiwi kuenda.
2. Majeraha - Wengi hujeruhiwa na wateja au kuumizwa na "mabosi". Kuna dada mmoja Anaitwa Mariam yuko Jijin ****** alinisimulia mwenyewe kwamba aliitwa na waturuki kwenye tinder kumbe wako 7 chumba kimoja, hapo awali walimwambia anayetaka ni mmoja kwa dolla 500 Lakin kafika wako 7 na ameshaingia kwenye 18 zao, ikabidi avumilie tu akarejea anavuja na anachechemea,

Mwingine aliitwa kutoka kati kati ya Jijii Kwenda ******* kukutana na Mnigeria, huyu sasa anaitwa ***** aliniambia kabisa nimeitwa naenda kwa mchati nkasema Okay! Maana kuna kazi nilikuwa namuandalia kitaalamu, kufika kule nikaona simu yangu inaita nasikia kurupushani za hap na pale kwenye sim, kumbe huyu Mnigeria alitaka kumwingilia Kinyume na maumbile maana huyu dada Ana Msambwanda balaa, yule mnigeria alitumia nguvu najua aliliwa ila kwa Mbinde sana 😎
Alimaliza siku kama 6 hatoki nje pia akaanza kuwa na aibu kuwa face waNigeria,

Wa Tatu huko ni Bangkok huyo dada aliitwa na mzungu akasema nampeleka Vacation Pattaya, kuna ka mwendo kutoka Bangkok jijini hadi Pattaya ni kama masaa kadhaa kwa ku drive !
Mzungu akampelela vema Yatch wakamaliza akamlipia hotel akawa ananwambia usitoke nje, mzungu akawa anamaliza shughuli zake anakuja na Bulldog yeye ndo anamlala dada huyo

3. Kujitoa uhai- Hali ya kukata tamaa + aibu + hawawezi kuongea na mtu = wengi hushindwa kisaikolojia. Hii kuna wadada wanne wa Uganda wamejitoa uhai ndani ya Mwaka jana , baada ya kugundua wameathirika na Wengine baada ya kuona walicholetewa si chenyewe! Hawa walipelekwa kwamba wanaenda Kufanya kazi Bangkok walipofika airport wakaona wanawekwa kwenye gari tofauti wakapelekwa Mpaka Mpaka wa nchi Nyingine yaan Cambodia wakaenda kuwa wanaburudisha ma scammer wa kichina wa LAOS NA CAMBODIA

B) WANAOJIPELEKA
Wadada wengi wanaokwenda Russi,
Dubai , Thailand , China na maeneo mengine ya Asia wanajiuza

Wanajificha katika
A. Thailand wanajificha kwamba ni walimu au wanafunzi! Wana mtaa kabisa unaitwa soy cowboy , Soi 4 na Nana, na shuleni wanaenda kusoma ki thai tu lakin Jumapili tu ndo siku ya shule ila zingine ni za kutembeza mbususu! Ukiwa na mchumba akakwambia niko Thailand nasoma au nauza vipodozi umekwishaaa! Na wao wanapata Madhara Yale Yale kama ya wale wanaodanganywa ila hawa Uzuri wanakuwa na passport zao! Na wengi maisha ni nagumu wameingia overstay! Pesa hakuna! Nauli kurejea nyumbani hawana ! Mwingine hata ya kodi na kula inakosa

Maana unakuta wanapata mwanaume wa short time kwa 200,000 ya Tanzania yaan Thai Baht 2500 ambayo haimtoshi kwa matumizi yake ya siku ! Sehemu wanazolala hasa maeneo ya Nana na Asok wale wanaolipa hotel cheap kabisa ni 800 baht kwa siku yaan 70,000 kula ni 500 kunywa 500 inabidi aende bar anunue kinywaji akisubiri wateja almost kwa siku ni 3000 baht 😆

wanaojifanya walimu hawa sasa wanafanya ukahaba kisomi anajitangaza kwamba ni tour guider au freelancer 😆 Wanafanya Hivo kupata VISA za kuendelea kuishi Kule ila Lengo ni tofauti

B . Urusi, Hapa angalau asilimia kubwa ya wasichana wakija wanaenda shule kusoma ila sasa wale wenzetu yaan KE hawanaga kazi moja na hapa moscow wana compete na wazawa kabisa na wanachukiwa

kuna wasichana weusi nchini Urusi ambao wamejikuta kwenye ukahaba/kujiuza lakini si wengi kama Asia au Arab
1. Idadi kubwa ya wasichana wa ngono Urusi ni Warusi, Wabelarus, Wamoldova, na Waukraine. Nawapenda sana hawa (😁😁😁)
2. Weusi waliopo ni hasa kutoka Nigeria, Ghana, Cameroon, Uganda, TZ. Wengi wameingizwa kupitia udanganyifu "masomo, mpira, modeling, kazi ya hoteli" wakaishia kuwa makahaba

Nao pia joto ya jiwe wanaipata si kawaida
1. Ukatili wa rangi/Racism: Wateja wengine wanawalipa pesa kidogo kwa sababu "weusi ni cheap". Pia wanapitia matusi ya rangi. Mwingine anamaliza halipi
2.Kukamatwa kirahisi: Polisi Urusi huwatarget wageni weusi zaidi. Bila visa halali wana deport haraka na blacklist.
3. Mafia/Trafficers: Makundi ya Nigeria "Black Axe" na mengine yamekuwa yakifanya biashara hii Moscow na St. Petersburg, wanawasafirisha na wanawateka na wanatoa kwa vitisho kwa familia zao Africa ili watumiwe hela, demu ananunuliwa kumbe ni mtego ukifika umebokiwa baaaasii wanakuteka
4. Hali ya hewa: Baridi kali -20°C. Wengi hawana makazi mazuri, wanapatwa na pneumonia na magonjwa mengine.
5. Lugha: Kutoroka Urusi ni ngumu zaidi kwa sababu Kirusi ni kigumu. Hawajui pa kwenda kuomba msaada.

Kisheria Urusi
Ukahaba wenyewe si kosa la jinai, lakini kuendesha nyumba ya ngono, kuleta mtu wa nje, na kupata faida ndio kosa. Mgeni akipatikana ni faini,deport na kupigwa marufuku ya kuingia Urusi miaka 5-10

Ntaendelea na kisa cha Mtanzania aliyeambukiwa online kufika anaambiwa wamnyee mdomoni na Pesa Pesa ashawekewa Tayari 1000$

Britanicca
 
Kuna binti kamkana mama yake kua asimjue.
Alikua Oman anatuma pesa tokea 2017 mama yake amjengee nyumba.

Karudi Bongo binti amechakaa hadi huruma! Anamuuliza mama yake kuhusu nyumba, mama anatoa tu macho.

Binti akamwambia kwa mateso aliyoyapata huko Oman, karudi Bongo bila 100 na mama yake kamtapeli basi kati yao atakayetangulia kufa asimzike mwenzake.
 
CCM Chanzo cha Matatizo
Imeshindwa ku create ajira nyumbani
 
Kuna binti kamkana mama yake kua asimjue.
Alikua Oman anatuma pesa tokea 2017 mama yake amjengee nyumba.

Karudi Bongo binti amechakaa hadi huruma! Anamuuliza mama yake kuhusu nyumba, mama anatoa tu macho.

Binti akamwambia kwa mateso aliyoyapata huko Oman, karudi Bongo bila 100 na mama yake kamtapeli basi kati yao atakayetangulia kufa asimzike mwenzake.
Dah! Sad sana walahi
 
Dubai wengi wanaoteseka ni Kutoka Uganda. Saizi watanzania wamekuwa wajanja wanatafuta rooms mitaa ya Al Rigga,Deira,Bur Dubai na wengine wanaenda kukaa mpaka Umar Kuwain. Mchana wanapiga mishe mishe za uwinga wa kufunga bidhaa jioni wanaingia mingle za kuwinda kwenye beaches,hotel
 
Back
Top Bottom