Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
nipe mim hio location tuko majirani kuja hapo ntatumia 2hrs😆Hapana,story zako tu ukasema upo Italy,nikataka nikupe location😁
nipe mim hio location tuko majirani kuja hapo ntatumia 2hrs😆Hapana,story zako tu ukasema upo Italy,nikataka nikupe location😁
Yeah ninae,yupo.Yani unampenzi ?
Mwambie tajiri pm yake iko wazi😎Yani unampenzi ?
Uwongo uwoo😁😃Yeah ninae,yupo.
Basi😁Sijakuelewa?
hutaki backup icase ...Yeah ninae,yupo.
Mambo😎Basi😁
Hauamini,kwani siwezi kuwa na mpenzi?Uwongo uwoo😁😃
Ngoja nakupa.hutaki backup icase ...
Mie nimekuelewa walahiHauamini,kwani siwezi kuwa na mpenzi?
Unaweza ila u need a backup plan😆Hauamini,kwani siwezi kuwa na mpenzi?
Fast basi..Ngoja nakupa.
Wallah?Mie nimekuelewa walahi
Aisee huyo mwonye. Mwambie ni wengi wanauawa huko. Unadanganywa kuwa ni kazi nzuri lakini ukifika huko unapelekwa maporini kwenye majumba ya kamari au kasino kutumikishwa muda wote. Unanyang'anywa mawasiliano yote na ukileta jeuri unapigwa hata kuuawa na figo zako kuchukuliwa.mkuu na subscribe kabisa kuna maza mtaani eti mwanaye anataka aende Thailand kikazi nikamwambia usithibutu namuonesha Uzi huu
Nimeweka chap,nimefutaFast basi..
Porta pottySasa wakunyee mdomoni ili wagundue nini aisee
OookMawardat hapo Emilia garden napajua kuna kipindi niliwahi kuja hapo kuinjoi nature 😆