Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Mimi nasubiria mpaka watakapopata vithibitisho vya kutosha kuwa anahusika na biashara hio haramu ndo nitasema nilitakalo sio habari za juu juu tu!
 
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
Ni kweli Masanja ni Mlokole lakini ulokole wake ni ule wa akina Gamanywa na Mwingira!!!
Huwezi kuigiza mambo ya imani matokeo yake ni hayo!!!!

Huu usanii ni sawa na ule wa Mama Rwakatare!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.

Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.

Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.

Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.

- Tuungane katika Vita hii ya kupigana kwa kutumia Tetesi? Really?

Le Mutuz
 
Diamond ni Tajiri kutokana na usanii na kazi zake...
ana mkataba na Vodacom, Tigo pia wnamtumia
makampuni mengi yana mkataba nae wa matangazo
shughuli zake za muziki zina washabiki wengi sanaaaa
CD zake zimetapakaa mpaka njee
pia ni mjanja sana katika kula jasho lake
sio kila mwenye mapesa ni fisadi ama muuza unga
tanzania kuna fedha nyingi sana ukifanya kazi zako ki utalaam
 
Hapana bana vijana wanajituma ..Ila wivu ukizidi unaleta chuki..Mungu hatendi miujiza kwenye mambo yanayo wezekana..Fanya kazi kwa bidii utakua Zaidi ya hawa..kila m2 mwenye pesa anauza sembe aaah ..acha hizo
 
Viongozi wa nchi hii waache usanii,ina maana pamoja na kuwa na polisi,usalama wa taifa,takukuru,mahakama,wanashughulikia swala la madawa ya kulevya kizembe namna hii!nilishangaa sana kumsikia Lukuvi anatamka wazi kwamba hadi sasa hawana ushahidi wa kukamata wauza unga.Inaelekea hawa jamaa hawana watoto walioathirika na unga
 
sasa huo n uonevu yan maskin akipata ame uza sembe... Alaf mbn hao vgogo hawatajwi nao wana huska
 
Habari za uhakika ni kwamba msanii Diamond amekamatwa na kunyang'anywa passport yake kwa tuhuma za kuhusika kwenye mtandao wa madawa ya kulevya. Diamond amekamatwa majira ya jioni Dar. Diamond anasadikiwa kuwa katika mtandao wa madawa ya kulevya wa afrika kusini. utajiri wa diamond umewashtua wengi; hauendani na kipato chake
 
/QUOTE=Mshinga;7228246]Hii ni marudio ya thread ya majuzi ama?[/QUOTE]
/
this is brand new. imetokea leo 02/09/2013
 
Kumbe utajiri wa sembe Huku akijiwekea ngao ya muziki tumemshtukia ndio maana ni kipenzi cha Ridhwani na baba yake
 
Back
Top Bottom