Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Picha na chanzo cha tarifa yako mkuu hatutaki habari ya kutunga sorce mkuu.
 
Kanumba kilichimwua ni baada ya kulitumikia hili kundi la dawa.... poor diamond ni aibu kwamba JK ndiye swahiba wa hawa wahuni
 
Nimepoteza imani na post hii nadhani ya ktunga kama siyo kupikwa.
 
Mkuu tarifa hii kama ya kweli tufute muziki wa kizazi kipya tumakiwe na ngoma asil make wote wahuni sasa,
inamaana wanaingia kwenye muziki wauze unga wajinga sana.
 
Mkuu tarifa hii kama ya kweli tufute muziki wa kizazi kipya tumakiwe na ngoma asil make wote wahuni sasa,
inamaana wanaingia kwenye muziki wauze unga wajinga sana.
mbona Rais ana majina ya wauza unga anawaficha bora na yeye aachie ngazi
 
Za asubuhi wapendwa mie naona wawaache wafu wazike wafu wao maana haya mambo ni mazito ukiyawazia kwa undani hii ndo tz
 
Mie nakumbuka padre alisema "wazazi wetu wa zamani ni kizazi cha nyoka ila kizazi cha sasa ni kizazi cha mjusi" you can imagine music wa sasa sio ule wa zamani ha ha ha ha
 
Mkuu tarifa hii kama ya kweli tufute muziki wa kizazi kipya tumakiwe na ngoma asil make wote wahuni sasa,
inamaana wanaingia kwenye muziki wauze unga wajinga sana.

......usifutwe muziki wa kizazi kipya, suluhisho ni kufuta Chama Cha Mapinduzi maana waasisi wa biashara hiyo wapo huko hao wanaokamatwa ni chambo tu. Lukuvi alishasema kuwa wakitajwa wahusika halisi basi hakutakuwa na Bunge akimaanisha CCM wote lazima wakamatwe.
 
Nikweli mziki kaanza juzi hapa halafu amiliki mali kiasi hicho,huyo ngurumo tu kaanza miziki miaka ya 60 na kaastafu juzi tu nahajapata pesa ,
 
hiyo ya kwanza hadi giza limeshaingia,huo uzalishaji unaufanya saa ngapi.....

sijui lini tutafungua haya macho yetu na kuona mambo kwa jicho la 3

Upofu huu tulionao haututoki leo wala kesho kama baadhi ya watu hawatajitambua kwamba wanatumiwa na watu wachache wenye hila mbaya, ambao wanapata mali kwa njia mbaya wanakimbilia kujificha ktk dini, kuhubili au kujenga nyumba za ibada ili kuficha mabaya waliyo nayo. Unamsikiliza mtu anaongea hadi anatoka povu mchana hadi giza linaingia bado anakudanganya, unaondoka hata nauli ya kukurudisha kwako huna zaidi ya hapo utoe sadaka umpatie kisha uanze safari ya kurudi kwako bila kufanya kazi ya kukupatia kipato kwa siku hiyo, siku inayofuata unarudi tena kudanganywa. Imani au dini uliyokuwa nayo kwa nini uione haba hadi ushinikizwe na kulishwa imani na mtu mwingine tena anayeibuka kuwa mhubili baada ya kuwa na mali (Kumbuka amejificha ktk mahubili ya dini kuendelea kukupumbaza lakini huyu ni mdanganyifu na muongo hakuna zaidi)
 
Nikweli mziki kaanza juzi hapa halafu amiliki mali kiasi hicho,huyo ngurumo tu kaanza miziki miaka ya 60 na kaastafu juzi tu nahajapata pesa ,

wao wanadai wanamziki wazaman walikuwa "vijuju"
 
Back
Top Bottom