Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Hii hbr mnaishadadia sn wkt ni udaku na umbea tu..... mbunge azan anajulikana vyema kwenye hii biashara. Kwa masanja na almasi naona watu wanawaonea wivu wa kike tu

Kitengo cha madawa ya kulevya kinamwonea wivu Diamond ee?.. Lakini huenda ni kweli wanamwonea wivu tu kwa mapesa aliyonayo, kwa maana hata Masogange wasouth walimwonea wivu kwa ajili ya makalio yake!
 
Wasanii wanaochunguzwa ni watatu + WEMA SEPETU ,dada ana kufuru secretary wake anatumia macntosh wakati ceo wa kampuni nayofanya kazi anatumia hp dv7.

Aaaa Mkuu, ongea kitu kingine bhana, kutunia Mac ndiyo kufuru mkuu? bwahahahahahaa
 
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
ulokole siku hizi ni mtindo wa maisha ambao mtu yeyote akiamua anaweza kujichagulia kuishi na sio iman tena.mlokole original ni mzee kulola (rip)
Ambaye saa chache zulizo pita ametutoka.hawa wa miaka hii ni wajanja tu wa mijini.alihisiwa kadinal pengo sembuse huyo ---- masanja
 
Huyu dogo mi mlidhani free mason,kumbe zungu
 
Masanja si ni mlokole/ameokoka...



Ule ulokole ndiyo usanii wenyewe. Anatumia tu ulokole ili aonekane msafi nje ya mwili kumbe ndani ni mauti tu, si unamuona Mama Rwakatare? Yeye anaitwa nabii ila habari kamili kuwa yeye ni nyangumi na ana vijana wake mapapa/punda anaowatumia. Wanajifanya waimbaji kwaya yake kumbe tumboni kete/matonge yameshehena. Watu wanacheza na Mungu kweli. Masuala haya ndiyo ilibidi Kikwete ayakemee, matokeo yake anamualika Diamond Magogoni na kumuuliza vipi alishauza kete ngapi toka aanze kuwa msanii? Eti unamfanya muuza unga kuwa mshauri wako unafikiri watu watakuelewaje? Nobody will take you seriously.
 
Yani mimi siamini hata wanaojiita wachungaji nao kumbe wako katika biashara za haramu, du kazi kwelikweli hatuna pa kukimbilia
 
Sio dawa wanaowatumia wapo ndio hao wanaotakiwa,hawa wametoka kwetu huku kwenye maisha yetu wametumiwa hawa tusikubali usanii huu mnasema mnawajua leo mnaamia kwa wasanii tafuteni mashina hivi ni vimatawi tu.tzania tzania wageni mwakaribishwa.nilikuwa napita tu
 
Na bado wakimnasa mwenye koromeo zuri atapiga kelele akitaja majina ya wenzie, stay tuned!!!
 
Hivi lile gazeti la TAZAMA TANZANIA linalo hubiri FREEMASONS kila siku linamilikiwa na nani?.
 



Alienda kibakwa...
 
mH KAZI kwelikweli sasa ina maana mtu ukipiga mzigo fresh ukatokelezea basi unajihusisha na sembe...!! Anyway may be nyuma ya pazia
 
Mbona Ritz hatajwi? Wanaowakamata ni dagaa tu papa lipo pale jirani na ferry
 
Last edited by a moderator:
Masanja yuko ndani kivipi?
mbona yuko zake fb saa hizi amepost habari ya majambazi kuiba benk Just 10 minutes ago?

Au unamaanisha ndani gani?
Nadhani anamaanisha ndani ya kashfa.Jisumbue kuchanganua,heading usipoielewa basi si vibaya ukasoma habari nzima.
 
Hii hbr mnaishadadia sn wkt ni udaku na umbea tu..... mbunge azan anajulikana vyema kwenye hii biashara. Kwa masanja na almasi naona watu wanawaonea wivu wa kike tu

Kumbe ulitaka wawaonee wivu wa kiume?
 
dah mbona wa mjengoni hawaguswi? au ndo toa kafara kondoo ng'ombe ale majan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…