matimbanyula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 268
- 120
Duh! game imenoga stay tune usiondoke mpaka watu wadhalilike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soon naona wema sepetu naye anaingia kwenye hii episode wapi alipata mihela ile
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.
Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.
Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.
Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.
Jitahidi kutafuta habari acha udebwedo wa kulishwa kila kitu.....nenda google ukapekue
![]()
![]()
hapo yupo kwenye moja ya shughuli ya uponyaji!!!!!
anafanya maigizo
alikuwa kwenye huduma ya bwana na kuombea watu kabisa..,
waumin wako busy na camera mweee
Bila kumkamata Lukuvi na Kikwete wanacheza sindimba ya kimakonde..
Walikuwa wapi siku zote hizo? Na vipi ile kauli ya Lukuvi bungeni?
Sababu za umaskini tz ni nyingi sana mojawapo ni hii ya kupoteza muda kwa wasanii kama hawa badala ya kutumia muda huo kwa uzalishaji mali wajikomboe kiuchumi
Haa, na Kikwete tena?
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
Mbona huulizi Mchungaji, Mheshimiwa, Daktari, Mtukufu, Nabii Mama Rwakatare.......? Haya madhehebu uchwara ndo kichaka cha kuficha wezi na wahuni wote..
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.
Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.
Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.
Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.
mbona umeshtuka mkuu
duh,kumbe kweli imani zimeingiliwa,askofu masanja mkandamizaji,..hahahaha.![]()
![]()
hapo yupo kwenye moja ya shughuli ya uponyaji!!!!!
do as i say,dont do as i do.alikuwa kwenye huduma ya bwana na kuombea watu kabisa..,
waumin wako busy na camera mweee