Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

bongo bana,kila mwenye mafanikio lazima awe muuza unga,mbona mtoto wa mfalme hatusikii amechunguzwa?bongo tabu tupu,ukiuza nyanya ukanunua ka vitz,watasema unga,uuze mihogo ununue carina utasikia unga mbona hatujasikia wa mjengoni wanachunguzwa?

Mmmmmmh!!! Inanisumbua kiasi kikubwa sana hiyo. But what I think ni kuwa mkweli tu. PENYE UKWELI UONGO UNAJITENGA. Lets see the next move.
 
Vita dhidi ya madawa ya kulevya si ya kubezwa hata kidogo lakn pia lazima njia sahihi za kupambana na hii vita zifuatwe mana mwisho wa cku tutaona majina mengi sana apa tena ya wale punda huku wahusika wenyewe wakiachwa ati kuhofia uchumi utayumba
Back to the topic,hao wahusika ni vyema wakachunguzwa na km itabainika ni kweli bhac sheria ifuate mkondo....Nadhani pia mambo ya ushabiki yawekwe kando mana cna uhakika km uyo Diamond atakua ni tajjiri sana kuliko hao drug lords nijuavyo mm Diamond katoka mbali na anahustle thou iyo haitoshi kusema hajiusishi na madawa
Nguvu kazi ya taifa inaangamia sasa sijui jamii itajifunza nn kutoka kwa hawa wasanii ambao wamekuwa ni inspiration to many youth out there.
 
Wakuu hii ni habari muhimu kwahiyo nizvr tukawa na uhakika na chanzo cha Habari hii manake JF inategemewa na watu wengi km chanzo chao cha habari ss icwe2 imekuja habari kabla hatujawa na uhakika wa chanzo chake 2kaanza kukaushana mate na kesho wenyewe wakakanusha! Tutashusha hadhi ya JUKWAA!!!!
 
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.

Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.

Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.

Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.

Naanza kuelewa kwa nini Masanja anajiita mzee wa mapowdaaaaaaaa
 
1235050_461227907309312_1001732574_n.jpg
578451_461476697284433_127953808_n.jpg


hapo yupo kwenye moja ya shughuli ya uponyaji!!!!!

hii ni mambo ya adobe au mchizi ni mchungaji, anahubiri nini huyu mpuuzi mpaka hii nyomi yote ije. hii nchi iko na wajinga wengi ndio maana ccm wanavuna kura kirahisi
 
kwanini hii biashara isihalalishwe tu? M2 akitaka kubwia bwimbi aachwe abwie, ili mradi awe na akili timamu na ufahamu wa kile anachokitenda. Itolewe elimu kuhusu madhara ya kutumia unga. Bange nayo pia iruhusiwe, gongo watuache tunywe, maadam tunajua nini madhara yake. Bange ni moja ya biashara nzuri na itaongeza kipato na ajira pia. Gongo ni aina ya pombe kali kama zilivyo konyagi, nk. Kwa nn lakini kukataza watu kutumia vitu wanavyoona vinawafaa?
 
Hao ndio tunawataka.......hata wale waliofukuzwa kazi uwanjani......wameonewa sana.........aliyewapa amri ndio awajibishwe.........

Baba yetu wa kufikia ati anakutana na mateja magogoni, anashindwa kuwauliza ni nani anawapa hayo mapowder, nafsi inamsuta kufanya hivyo. Hivi Mnyakyusa hii vita ataiweza? Mnyalu naye magumashi tu, anavyojibu maswali anayouliza ukimwangalia tu unakuwa na mashaka naye, si kwamba analinda maslahi ya bwana wake, bali hata yeye kwangu mimi ni suspect namba wani, haiwezekani akajibu vile bila haya,
 
Hivi jamani TANZANIA hatuko kwenye nchi tano bora duniani katika uuzaji wa sembe?
 
Daah kweli tanzania nchi ya umbea na uongo..niko karibu na diamond kama mfanyakaz wake mda mwing niko nae.toka alejee SA mda mwingi yuko alikuwa bize kwwnye maandaliz ya kuzindua video yake cjaona ukaribu wowote na ofisa usalama yeyote..
hiyo paspot kanyanganywa lini jamni?eti nn simu!!khaa!!simu zake zote anazo mpaka mida hii labda kama walimnyanganya wakampa zingne za kufanana.
na leo kafanya wema wa kumzawadia mzee gurumo gari mpya..semeni kingine
Tanzania bana....
 
Ndio maana hyu jamaa Masanja kuna kipindi flani alikuwa anapenda kutumia neno "MAPOWDER" wakati anachekesha pale ze comedy, kumbe ndivyo alikuwa anamaanisha!!!
 
Masanja si ni mlokole/ameokoka...

kuna msanii moja wa hip hop bongo alipata kuimba katika moja ya mashahiri yake kuwa "......wenye njaa kula kuku alichinjwa na Padre walaa, azana ikilia hamka ukamuombe Allaah, Bwa sheh mrudie Mungu,Masanja kawa mchungaji...???
 
Vita dhidi ya madawa ya kulevya si ya kubezwa hata kidogo lakn pia lazima njia sahihi za kupambana na hii vita zifuatwe mana mwisho wa cku tutaona majina mengi sana apa tena ya wale punda huku wahusika wenyewe wakiachwa ati kuhofia uchumi utayumba
Back to the topic,hao wahusika ni vyema wakachunguzwa na km itabainika ni kweli bhac sheria ifuate mkondo....Nadhani pia mambo ya ushabiki yawekwe kando mana cna uhakika km uyo Diamond atakua ni tajjiri sana kuliko hao drug lords nijuavyo mm Diamond katoka mbali na anahustle thou iyo haitoshi kusema hajiusishi na madawa
Nguvu kazi ya taifa inaangamia sasa sijui jamii itajifunza nn kutoka kwa hawa wasanii ambao wamekuwa ni inspiration to many youth out there.

"Diamond katoka mbali na ana hustle", ndugu naona humjui juma nature wala prof jay
 
"Diamond katoka mbali na ana hustle", ndugu naona humjui juma nature wala prof jay

Ni kweli kuna wasanii wametoka mbali sana kushinda hata uyo Diamond lakn kwa sir nature na prof jay cdhani km wanafanya muziki anaofanya Diamond,afu jaribu kuangalia Diamond kafanya show ngapi na alikua analipwa sh ngap ingawa iyo haitoshi kusema hajiusishi na unga
 
Back
Top Bottom