Little John
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 215
- 66
bongo bana,kila mwenye mafanikio lazima awe muuza unga,mbona mtoto wa mfalme hatusikii amechunguzwa?bongo tabu tupu,ukiuza nyanya ukanunua ka vitz,watasema unga,uuze mihogo ununue carina utasikia unga mbona hatujasikia wa mjengoni wanachunguzwa?
Ni kweli hata utajili wa masanja unatisha kulinganisha na shughuli zake haviendani
Unga bhana,,,,,ngoja utajaji uanze rasmi
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.
Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.
Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.
Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.
hapo yupo kwenye moja ya shughuli ya uponyaji!!!!!
Hao ndio tunawataka.......hata wale waliofukuzwa kazi uwanjani......wameonewa sana.........aliyewapa amri ndio awajibishwe.........
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
Masanja si ni mlokole/ameokoka...
Vita dhidi ya madawa ya kulevya si ya kubezwa hata kidogo lakn pia lazima njia sahihi za kupambana na hii vita zifuatwe mana mwisho wa cku tutaona majina mengi sana apa tena ya wale punda huku wahusika wenyewe wakiachwa ati kuhofia uchumi utayumba
Back to the topic,hao wahusika ni vyema wakachunguzwa na km itabainika ni kweli bhac sheria ifuate mkondo....Nadhani pia mambo ya ushabiki yawekwe kando mana cna uhakika km uyo Diamond atakua ni tajjiri sana kuliko hao drug lords nijuavyo mm Diamond katoka mbali na anahustle thou iyo haitoshi kusema hajiusishi na madawa
Nguvu kazi ya taifa inaangamia sasa sijui jamii itajifunza nn kutoka kwa hawa wasanii ambao wamekuwa ni inspiration to many youth out there.
Yah-Ameokoka kutoka katika umasikini!Masanja si ni mlokole/ameokoka...
"Diamond katoka mbali na ana hustle", ndugu naona humjui juma nature wala prof jay