Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani


Pamoja na kulinda kibarua chako lakini fanya yafuatayo:
1. Weka idadi ya shoo zote mlizofanya
2. Weka gharama ya kila shoo then upate jumla
3. Baada ya hapo fananisha hiyo gharama na asset za bosi wako alafu tuambie ziada anaitoa wapi
 
Hapo sasa! Wanaume wazima hawa umbea mpaka wamejaza server, diamond, diamond, masanja masanja!
Hii nchi inaonekana ni ya mipasho zaidi, uarabu umesababisha hayo. Mtu yuko bize kibarazani na kwenye maskani na vijiwe kuutwa na simu kushabikia habari za uzushi.
Mnapotoshwa na vihabari vya kizushi muwe bize msahau kuihoji serikali mambo ya msingi, kama rasimu ya katiba mpya, endeleeni kulala usingizi, mkiwashabikia masanja na diamond ma vijumba vyao viwili.
Huku mafisadi wanakwapua matrilioni, na kuangamiza nchi.
Hojini nani anawatuma? Binti aliekamatwa SA hawezi kuwa na mtaji mkubwa vile wa karibia nusu bajeti ya wizara moja.
Pili nimewashangaa ninyi wana JF, kutukana na kukejeli imani za wengine hapa!
Nani hapa ana uhakika na uthibitisho imani yake ni sahihi?
Mi siioni hata moja
Wakatoliki mashoga, walawiti, walevi, wauzaji na wasafirishaji wakubwa madawa ya kulevya, tena ni viongozi hapo kuanzia Vatican mpaka huku wetu.
Waanglikana nao dah soo, ndoa za mashoga,
Walutheri wanabariki ufisadi, we kwapua fedha kokote hata za Richmond zipeleke watasafisha zitajenga makanisa
Walokole utapeli, madawa ya kulevya vimeshika kazi.
Waislamu dah, Ulawiti, ushoga, madawa ya kulevya, ukatili wa kuuana, msingi mkuu wa dini ni Mauaji, majibu ya matatizo yao ni kuua. Mungu wao anasema ueni, jitoeni muhanga, vaeni mabomu mkajiue stand, sokoni, mashuleni, makanisani, Mwendo ni kuua tu!
Freemason toeni kafara.
Sasa sioni wa kumnyooshea kidole Masanja mlokole au Diamond mjenga msikiti wakati ni wamo kwenye makundi hapo juu.
Acheni unafiki, jadilini mambo muhimu kwaajili ya nchi yetu.
Wivu, chuki binafsi, uzandiki, na ufinyu wa akili unazidi kuturudisha nyuma.
 
Naomba kusaidiwa kujua yafuatayo,

1.Biashara zinazofanywa na Diamond na Masanja,
2.Kiasi cha mapato yao kwa mwaka
3.Wamelipa kodi TRA Kiasi gani?
Huenda kweli wanafanya biashara halali, je TRA Hawawezi kuhusishwa kufanya makisio ya kodi toka kwenye biashara zao? au wakwepaji kodi?
 
Na bado, tutawajua wengi; na wengine watajulikana kwa ujinga wao wa kujitangazia pesa walizonazo. Habari za Wema Sepetu sijazisikia, hebu nijuzeniiiiiiii naye anabiashara gani? au ndio hiyo K inamlipa hivyo?
 
Ndiyo maana huwa najiuliza, kama kila siku wanamuziki wanalalamika muziki haulipi, wanadai serikali iingiie kati. Hii naweza kuamini kutokana na maisha ya wanamuziki wetu waasisi kama Muhidin Gurumo.

Lakini sasa mbona hawa wa kizazi kipya ambao nao wanafuata nyayo za kulalamikia mapato kiduchu ya muziki, ndiyo hao hao wanatumbua hela kwenye starehe za 5 stars kila siku na kujenga mahekalu na kununua magari ya kifahari kila siku??

Nafikiri serikali ilichelewa kuchukua hatua, hata hivyo hao wakibanwa watasaidia japo kujua wengine.
 
hii ni mambo ya adobe au mchizi ni mchungaji, anahubiri nini huyu mpuuzi mpaka hii nyomi yote ije. hii nchi iko na wajinga wengi ndio maana ccm wanavuna kura kirahisi

Ndio maana kuna mtu alisema Watanzania tumerogwa na aliyeturoga alishakufa siku nyingi sana
 


Umejiunga Juzi,na post yako ya kwanza ni hii,

Naona umekuja kwa jaaazba nyingi sana,nadhan umetumwa kuja kumsafisha au tuseme sijui ndie wewe yule kijana masanja?

Mbaya zaid umekuja kukashifu iman za watu na kuweka mafundisho yako ili mradi utetee hiko unachokitetea,haisaidii

Umeambiwa hizi habari ni tetesi na hao washukiwa wapo kwenye uchunguz,sasa kiwewe cha nin??

Kila mtu ale kwa jasho lake,mambo ya kuzoe kula vya haram na kunyonya wenzenu na kuwaua na madawa ya kulevya hayafai na lazima tuyakalipie,acha kumwaga mwaga povu lako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…