Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

mASANJA MIMI NAAMINI KABISA ANAfanya biashara Haramu, na alipogundua kuwa itakuwa rahisi kugundulika haraka akatengeneza Blog yake akaweka vipicha vyenye utata kwa makusudi ili kuwafool watu kuwa yeye ni freemason, na alipoona haikusaidia akajiingiza katika Injili.
Anajinasibu kuwa anaghorofa tatu, ananyumba za kawaida nne moja ni ile ya kijijini kwao, ana magari ya kifahari kama matatu.
Mbona wenzake hawamiliki utajiri mkubwa wa kiwango hiko, mtazame Sekioni David, mtazame Joti hata mwarabu wa Dubai Mpoki....wanaishi maisha yasiyomkaribia

M.jpg
 
Kuna bwana mmoja alisikika mjengoni akibwabwaja na domo zito kama kanywa uji wa magimbi, eti hatuwezi kuwataja ila nawabunge wamo!, sasa iweje watajwe wadogo nawakubwa waachwe?!!! Amaa kweli kichwa cha wenda wazimu liwazalo ndiyo jibu.
 
Masanja yuko ndani kivipi?
mbona yuko zake fb saa hizi amepost habari ya majambazi kuiba benk Just 10 minutes ago?

Au unamaanisha ndani gani?
 
Hakika si kila king'aacho ni almas (diamond) vingine ni vipande vya chupa,bado "kind" sepetu.
 
mmmm.. Kazi ipo.

sasa unaweza kuwa home ukashangaa Mr, mtoto, kaka, binamu n.k Kaja kuzombwa daaa..

tutasikia mengi. Kila la kheri kwa kila anaehusika katika vita hii
 
nina mashaka na hizi habari,weka chanzo mkuu
 
Hii hbr mnaishadadia sn wkt ni udaku na umbea tu..... mbunge azan anajulikana vyema kwenye hii biashara. Kwa masanja na almasi naona watu wanawaonea wivu wa kike tu
 
Ni jukumu la vijusi kuwataja makenge. Kama watawaficha itaendelea kula kwao.

kuwataja pekeyake haitoshi mkuu, wafanye km takukuru, wawakamatishe kabisa, daily tunasikia orodha ipo, we unafikiri Ray C hakumtajia JK, lkn kwa kuwa hawajawakamatisha, listi itaendelea kuwa ndefu na hawatakamatwa red handed
 
Bila kukamatishwa mapapa wataendelea Kula kuku mtaani. We mwenyewe msomaji ukickia rafiki yako anasema unazini na mke/mme WA bosi wako utakimbilia kuomba uthibitisho, co Maneno matupu, hawa punda km kweli wanajutia kutumika waangalie Ni jinsi gani wanaweza kuwakamatisha mapapa
 
Hiyo zuga tu,wenye kazi zao wanaendelea kuenjoy(TUKITAJA MAJINA YA WAUZA UNGA WABUNGE HAMTAPONA) by lOOK'V'

FURSA FURSA KWA KWENDA MBELE
 
Mchungaji masanja mkandamizaji? Kumbe anataka kuanzisha kanisa ili kufichia uovu wake kama mama Rwakatale.
 
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo. Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola. Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe. Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.
mambo hayo yetu macho na bado!!!
 
Back
Top Bottom