Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

mi nilishangaa kwa masanja,kuchekesha tu uwe na bangaloo za kufa mtu? Afu eti mchungaji mmmmh tz kazi ipo,hao ni punda tu,tunataka wenye punda
 
Nami nilishangaa hawa vijana wanatoa picha wako marekani kwenye shoo ya watu 12 na jukwaa kama la mgombea uraisi fulani hivi mwaka 2010....Mziray Kuga......then akirudi anasema nimepata 200Mil...nadhani hawa dagaa wabanwe japo na viapo vyao wataje Kings wao...Hofu ni kwamba wenye visu ndio wachinjaji wenyewe, Je nyama itabaki.
 
Kazi kweli inamaana wanatudanganya kwa sanaa zao?

"Nchi ngumu hii"
 
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.

Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.

Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.

Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.
:disapointed::A S-frusty::confused3:mpaka masanja yumo mhh si mchungaji huyu siku hizi!!!!?????????????

ONENI WENYEWE>
 
Hao ndio tunawataka.......hata wale waliofukuzwa kazi uwanjani......wameonewa sana.........aliyewapa amri ndio awajibishwe.........

Mimi nafikiri hawajaonewa coz na wao hawakufanya wajiibu wao, ila wabanwe kuonyesha 'waajiri' wao wapya....
 
Si walisema wajenzi huru mapesa yanakujaga tu yenyewe leo tena imekuwa mapowder!

Ahaaaa eti wanasema unapewa 10,000 (elfu kumi tu) then ukianza kuitumia haiishi...Inazidi kujaa tu kwenye wallet....
Usikute na wale wachungaji uchwara wanalipwa na jamaa wa mapowder watupige sound za freemason...
Tushawashtukia hakuna cha freemasons wala Devil Kingdom ni MAPOWDER FULL STOP.
 
freemason ni kama kivuli. Ishu yote unga
 
Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.

Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.

Hata mzee wa mapowder nae yumo! Kweli hatari
 
Hii hbr mnaishadadia sn wkt ni udaku na umbea tu..... mbunge azan anajulikana vyema kwenye hii biashara. Kwa masanja na almasi naona watu wanawaonea wivu wa kike tu
 
Huwaga nashindwa kabisa kuamini kwa kazi ya Masanja anaweza kuwa na ukwasi kiasi kile.
Na alivyomsanii eti akajidai kuanza kuhubiri dini kama mchungaji.
Kuna watu wana utani sana na Mungu
 
uyo Lulu usiku wa Manane alifata nini chumban kwa Mwanaume? Alienda kuset nywele au kupaka Hina?

Ha!ha! Jk wanafunzi wanaopara mimba ni sababu ya vihelehele.!!!!!
 
Back
Top Bottom