Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu.
Trust the process...Arteta ni kocha kijana mwenye mbinu bora za kisasa katika mashambulizi na kujilinda...apewe muda ajenge kikosi kinachoendana na falsafa zake huku akiondoa makapi yasiyoendana na mfumo wake wa kisasa.
Anaweza akafungwa mechi mbili za mwanzo na kushinda mechi nyingine 30 na kuwa bingwa🤣