adamtupa92
Member
- Jun 29, 2016
- 27
- 24
Tumijue wenye team zenu na mtabiri wenyewe mtamaliza nafasi ya ngapi.
Naanza mm, Arsenal (3).
Naanza mm, Arsenal (3).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man U kesho mkuu,kwann huna imani na vijana wa the special one?Du! Wapi man U
Lakini sina imani nao kabisa
Kwasasa narudi Taifa kumcheki mnyama Simbaaa
Msimu huu Raha tupu
Mkuu wewe ni msambaa ama mzigua maana?Tumijue wenye team zenu na mtabiri wenyewe mtamaliza nafasi ya ngapi.
Naanza mm, Arsenal (3).View attachment 380813
Morinyo simkubari hata kidogoMan U kesho mkuu,kwann huna imani na vijana wa the special one?
Utaanzaje kumkubali mwanaume mwenzio???labda uwe anti muuMorinyo simkubari hata kidogo
Yeye makeleletu
Hana lolote
Moja ya sifa kubwa ya mashabiki wa arsenal ni uvumilivu hongera kwa hiloTumijue wenye team zenu na mtabiri wenyewe mtamaliza nafasi ya ngapi.
Naanza mm, Arsenal (3).View attachment 380813
Wacheni ujingaUtaanzaje kumkubali mwanaume mwenzio???labda uwe anti muu
Baba mwenye kupiga kelele halafu mwisho wa siku anarudi na chochote watoto wanakula na asiyepiga kelele halafu anarudi mikono mitupu na watoto kulala na njaa ni yupi bora?Morinyo simkubari hata kidogo
Yeye makeleletu
Hana lolote
Hahahaha kwann mkuuuuMkuu wewe ni msambaa ama mzigua maana?
Tumijue = tuwajueHahahaha kwann mkuuuu
Ila umeelewa hadi umeweza kurekebisha.Tumijue = tuwajue
Ni miongoni mwa makocha wenye mafanikio. Have some respect Mkuu.Morinyo simkubari hata kidogo
Yeye makeleletu
Hana lolote
Mwambie dogo huyo.Ni miongoni mwa makocha wenye mafanikio. Have some respect Mkuu.