EPL is back.........

EPL is back.........

adamtupa92

Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
27
Reaction score
24
Tumijue wenye team zenu na mtabiri wenyewe mtamaliza nafasi ya ngapi.
Naanza mm, Arsenal (3).
1471078730308.jpg
 
Du! Wapi man U
Lakini sina imani nao kabisa
Kwasasa narudi Taifa kumcheki mnyama Simbaaa
Msimu huu Raha tupu
 
hapo game ni hiyo ya man city ndio haitabiriki
 
Morinyo simkubari hata kidogo
Yeye makeleletu
Hana lolote
Baba mwenye kupiga kelele halafu mwisho wa siku anarudi na chochote watoto wanakula na asiyepiga kelele halafu anarudi mikono mitupu na watoto kulala na njaa ni yupi bora?
Mourihno vs Wenger .
 
Mashabiki wa man utd walikua wanamuita morinyo kwa jina la aunt dede alipokua chelsea msimu huu ndio kocha wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom