Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya miaka kumi iliyopita katika mshindano ya club bingwa ulaya ambayo yalihusisha vilabu vikubwa kutoka ligi kuu mbalimbali za ulaya na epl ikiwemo kombe lilienda uingereza mara moja, italy mara moja, ujerumani mara moja Spain mara saba. Kwenye mashindano ya kombe la shirikisho kwa mda wa miaka kumi kombe vile vile limeenda spain karibu mara saba. Kwa takwimu hzo chache ni wazi kua ndani ya miaka kumi timu za la liga ndio zilizotawala mashindano makubwa ulaya.Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL
1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi.
2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali umempa takwimu ajue ligi IPI ni boraNdani ya miaka kumi iliyopita katika mshindano ya club bingwa ulaya ambayo yalihusisha vilabu vikubwa kutoka ligi kuu mbalimbali za ulaya na epl ikiwemo kombe lilienda uingereza mara moja, italy mara moja, ujerumani mara moja Spain mara saba. Kwenye mashindano ya kombe la shirikisho kwa mda wa miaka kumi kombe vile vile limeenda spain karibu mara saba. Kwa takwimu hzo chache ni wazi kua ndani ya miaka kumi timu za la liga ndio zilizotawala mashindano makubwa ulaya.
uwezi ukawa unakamia sababu moja ligi ya. Epl ni bora kama ingrkuwa sio nadhani ingekuwa si dhahabu kuanzja kuitazama huwez lingnisha na warembo wa spain ambao wao ni bure hata kurushwa pili unachongelea ni barca na real zinazochukua wachezaji bora funiani na kujumsha kupata kikos kimoja unategemea niniNdani ya miaka kumi iliyopita katika mshindano ya club bingwa ulaya ambayo yalihusisha vilabu vikubwa kutoka ligi kuu mbalimbali za ulaya na epl ikiwemo kombe lilienda uingereza mara moja, italy mara moja, ujerumani mara moja Spain mara saba. Kwenye mashindano ya kombe la shirikisho kwa mda wa miaka kumi kombe vile vile limeenda spain karibu mara saba. Kwa takwimu hzo chache ni wazi kua ndani ya miaka kumi timu za la liga ndio zilizotawala mashindano makubwa ulaya.
ONLY EPLAfadhali umempa takwimu ajue ligi IPI ni bora
uwezi ukawa unakamia sababu moja ligi ya. Epl ni bora kama ingrkuwa sio nadhani ingekuwa si dhahabu kuanzja kuitazama huwez lingnisha na warembo wa spain ambao wao ni bure hata kurushwa pili unachongelea ni barca na real zinazochukua wachezaji bora funiani na kujumsha kupata kikos kimoja unategemea nini
daaa uarabu ndugu ungeshafungwa maanaNdani ya miaka kumi iliyopita katika mshindano ya club bingwa ulaya ambayo yalihusisha vilabu vikubwa kutoka ligi kuu mbalimbali za ulaya na epl ikiwemo kombe lilienda uingereza mara moja, italy mara moja, ujerumani mara moja Spain mara saba. Kwenye mashindano ya kombe la shirikisho kwa mda wa miaka kumi kombe vile vile limeenda spain karibu mara saba. Kwa takwimu hzo chache ni wazi kua ndani ya miaka kumi timu za la liga ndio zilizotawala mashindano makubwa ulaya.
Ukiweka pembeni unazi wako wa EPL labda unaweza jua kipi bora. Ligi iliyotoa mchezaji bora wa dunia kwa miaka kumi mfululizo huwezi kuita ligi ya warembo. Barcelona na Madrid zimetawala kwenye Champions League tu ambapo washindani wake ni hao waliopo top four ya Epl lakini kuna timu nyingne kama Servila ambazo zimetawala kwenye Europa League ambapo zinachuana na vilabu vingine vilivopo nje ya top four ya uingereza na kuvishinda. Mchezaji wakishajiona ana kiwango kikubwa akili yake ni kwenda kuchezea spaini halafu unakuja mwenzangu kutoka tandare anasema ni ligi ya warembo.
ONLY EPL
| Nationality | UCL | UEL | CWC | UIC | USC | IC | Total |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
| 18 | 11 | 7 | 5 | 15 | 4 | 60 |
12 | 9 | 7 | 4 | 9 | 7 | 48 | |
12 | 8 | 8 | 4 | 7 | 1 | 40 | |
7 | 6 | 5 | 8 | 1 | 3 | 30 | |
6 | 4 | 1 | 0 | 2 | 3 | 16 | |
1 | 0 | 1 | 12 | 0 | 0 | 14 | |
4 | 2 | 1 | 1 | 1 | 2 | 11 | |
0 | 1 | 3 | 0 | 3 | 0 | 7 | |
1 | 0 | 2 | 0 | 1 | 0 | 4 | |
0 | 1 | 2 | 0 | 1 | 0 | 4 | |
0 | 2 | 0 | 0 | 1 | 0 | 3 | |
1 | 0 | 0 | 0 | 1 | 0 | 2 | |
1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 | 2 | |
0 | 2 | 0 | 0 | 0 | 0 | 2 | |
0 | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 2 | |
0 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 1 | |
0 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 1 | |
0 | 0 | 0 | 1 | 0 | 0 | 1 |
hivi liver na man cty wamebakiza match ngapi ngp.
kuweni wakweli jamani..hivi mechi ya alaves na levante unaweza linganisha na watford v crystal palace!?Ligi inayotazamwa na watu wengi ulimwenguni.
Iliyosheheni timu zenye uwezo mdogo compared to la liga teams.
Kinachoipa nguvu ni promo za waingereza na media zao.
Cha ajabu hiyo watford na crystal ukizikutanisha na alaves na levante bado timu za spain zinaweza kuibuka washindi.kuweni wakweli jamani..hivi mechi ya alaves na levante unaweza linganisha na watford v crystal palace!?