EPL ndo ligi bora duniani

EPL ndo ligi bora duniani

Cha ajabu hiyo watford na crystal ukizikutanisha na alaves na levante bado timu za spain zinaweza kuibuka washindi.

Uwa najiuliza ubora wa timu zenu uko wapi?

Timu zetu za Spain(la liga) karibia miaka kumi sasa zinawaenyesha timu zenu bora za uingereza kwenye mashindano makubwa ulaya,UCL na Europal yake.

Hata mwaka huu uwezekano wa UCL kurudi spain ni mkubwa.
hebu weka takwimu hapa timu za epl na la liga zimekutana mara ngapi europa na matokeo yakawaje?na timu hizo ni za hadhi ipi?..pia weka tangu sheria ya bingwa wa europa anaenda ucl ianze timu ngapi kubwa za epl zimekutana na timu ndogo za la liga na zikashindwa kuzitoa
 
Lakini ndio huwa zinawasumbua europa league shkh wangu 😀😀😀
ferguson au wenger hawezi kuhangaika na europa,sevilla lazima ahngaike ndiyo ndoto pekee inayoweza kutimia,nakumbuka arsenal mwaka 2000 alifungwa na galatasaray fial europa,kwa muktadha huo ligi ya uturuki ilikua bora
 
hebu weka takwimu hapa timu za epl na la liga zimekutana mara ngapi europa na matokeo yakawaje?na timu hizo ni za hadhi ipi?..pia weka tangu sheria ya bingwa wa europa anaenda ucl ianze timu ngapi kubwa za epl zimekutana na timu ndogo za la liga na zikashindwa kuzitoa
Aah aah nakuja na data.

Usije ukakimbia tu.

Na ukweli utabaki pale pale timu zenu zina uwezo mdogo compared to la liga teams.
 
Aah aah nakuja na data.

Usije ukakimbia tu.

Na ukweli utabaki pale pale timu zenu zina uwezo mdogo compared to la liga teams.
madrid kapgwa mara ngapi na timu za epl na ndo anaongoza kubeba uefa,barcelona(ya pep) hapangwi na chelsea mara nyingi kama anavopanga na arsenal kwa kuwa alikua hachomoki bila kubebwa
 
Exactly.

Ligi ya uingereza inawashabiki wengi.

Lakini imekusanya timu zenye uwezo wa kawaida ukilinganisha na timu za Spain
Team za England zote ni mbovu,ndio maana zikikutana zinasumbuana! Ni sawa na uwape vichaa wawili mpira wacheze,ni lazima watasumbuana sana,hapo ndio utaona kua viwango vyao vipo juu kisa wana sumbuana!?😛😛
 
Nafikiri madrid alipigwa nje ndani na spurs misimu miwili iliyopita
 
Katumia pesa nyingi sana kusajili bila mafanikio ya kufika Man City ilipofikaga nusu fainali UEFA chini ya Pelegreen.
Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL

1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi.

2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao wanaosema Laliga tmu zao ni bora unaweza kukuta hata Mara ya mwisho kuangalia mechi za laliga hawakumbuki...
 
Back
Top Bottom