EPL ndo ligi bora duniani

EPL ndo ligi bora duniani

Yani wewe unapima kutazamwa kwa Laliga kwa reference ya Tanzania?
Ufatiliaji wa ligi ni mazoea tu yaliyojijenga toka miaka ya nyuma, zipo nchi zinatazama laliga zaidi kuliko epl.

EPL is full of avarage players na ndio mana unaona kuna ushindani, ushindani hauletwi na ubora wa juu, ukisema ushindani wa timu moja kufunga nyingine ni kipimo cha ubora basi ligi ya bongo nayo ni bora kuliko laliga??

Man U anafungwa na Cristal Palace sio kwasababu Cristal Palace ni bora, ni kwasababu Man U ni mbovu, same applies kwa hizo timu nyingine. Unataka kuniambia Cristal Palace ataenda laliga akaisumbue Baca au Real Madrid pamoja na kiwango chake kibovu kwa sasa??

Kipimo pekee ni champions league na Europe league. Ndio mana ikaitwa ligi ya mabingwa. Inamana kwamba wenye uwezo wa juu katika kila ligi wanawakilisha ligi zao kwenye michuano kuona nani bora zaidi.

Hii mambo ya kuambiana kwamba timu yoyote inaifunga timu nyingine ndio ubora ni invalid kabisa. Hii ni ushindani, kushindana sio lazima muwe na ubora wa juu.

Hii kusema laliga sio bora kwasababu timu ni 2 tu alafu mnasahau kwamba hizi timu mbili kwa misimu kadhaa sasa zimekua zikipokezana kikombe kinachotambulisha mabingwa wa ulaya nzima ni uvivu wa kufikiri.

Real na Baca zimekua katika ubora wajuu sana sio tu laliga bali ulaya nzima.

Sasa timu bora ulaya nzima zitaachaje kushinda vikombe kwenye ligi yao??

Na ukiwatoa hawa real na Baca, hembu angalia records za hawa wengine kutoka laliga kwenye michuano mingine ya ulaya alafu urudi tena.
Asante mkuu kwa kumfahamisha huyo,anaonekana anakaza ubongo kwa mihemko ya kishabiki kuliko kiuhalisia.
 
Shabiki wa liver huyu.

Leo huwezi muona hapa jukwaani akija na ngonjera zake za EPL ni ligi bora kuliko La liga.

Kaufyata kimya.

Angalia sasa mnavyodanganyana nani kakwambia mimi shabiki wa Liverpool??Shida ni kwamba badala ya kudiscuss mada mnaanza kumjadili mtu mimi na ww tunajuana mkuu? kwahyo kwasababu nimepinga hoja yko basi ndo nakuwa shabiki wa Liver?mimi naongea ninacho amini mimi na ww unaongea unacho amini ww kwan ni lazima tukubaliane?? tujifunze kuheshimu mitazamo ya wengine! kufungwa liverpool mimi hakuniathiri chochote na wala haiprove mada yoyote humu!
 
Team za England zote ni mbovu,ndio maana zikikutana zinasumbuana! Ni sawa na uwape vichaa wawili mpira wacheze,ni lazima watasumbuana sana,hapo ndio utaona kua viwango vyao vipo juu kisa wana sumbuana!?😛😛
LEO VALENCIA KALIMWA NGAPI NA ARSENAL ACHA UBISHI LALIGA NI TIMU TATU SIO LIGI NI TIMU TATU ZILIXODOMINATE UEFA KULINGANA HAWANA GAME NYING KAMA EPL KUNA FA CARABAO UEFA UEROPA WAO NI LALIGA NA UEFA/EL COPA DLAY YA WAWILI
 
Yani wewe unapima kutazamwa kwa Laliga kwa reference ya Tanzania?
Ufatiliaji wa ligi ni mazoea tu yaliyojijenga toka miaka ya nyuma, zipo nchi zinatazama laliga zaidi kuliko epl.

EPL is full of avarage players na ndio mana unaona kuna ushindani, ushindani hauletwi na ubora wa juu, ukisema ushindani wa timu moja kufunga nyingine ni kipimo cha ubora basi ligi ya bongo nayo ni bora kuliko laliga??

Man U anafungwa na Cristal Palace sio kwasababu Cristal Palace ni bora, ni kwasababu Man U ni mbovu, same applies kwa hizo timu nyingine. Unataka kuniambia Cristal Palace ataenda laliga akaisumbue Baca au Real Madrid pamoja na kiwango chake kibovu kwa sasa??

Kipimo pekee ni champions league na Europe league. Ndio mana ikaitwa ligi ya mabingwa. Inamana kwamba wenye uwezo wa juu katika kila ligi wanawakilisha ligi zao kwenye michuano kuona nani bora zaidi.

Hii mambo ya kuambiana kwamba timu yoyote inaifunga timu nyingine ndio ubora ni invalid kabisa. Hii ni ushindani, kushindana sio lazima muwe na ubora wa juu.

Hii kusema laliga sio bora kwasababu timu ni 2 tu alafu mnasahau kwamba hizi timu mbili kwa misimu kadhaa sasa zimekua zikipokezana kikombe kinachotambulisha mabingwa wa ulaya nzima ni uvivu wa kufikiri.

Real na Baca zimekua katika ubora wajuu sana sio tu laliga bali ulaya nzima.

Sasa timu bora ulaya nzima zitaachaje kushinda vikombe kwenye ligi yao??

Na ukiwatoa hawa real na Baca, hembu angalia records za hawa wengine kutoka laliga kwenye michuano mingine ya ulaya alafu urudi tena.
Nitajie iyo nchi inayotazama la liga zaidi kuliko epl
 
Hahahaaaaaaa.
Mnaruka ruka tu.
Kipimo cha ubora wa ligi za ulaya ni champions league tu. Hizi nyingine kelele.
Kipimo cha shule bora sio mitihani ya mhula ni National examination.
Huwezi jipima ubora kwa kujishindanisha wewe mwenyewe.
Go out there and show your quality.

Kwahyo kwa mtazamo wako ww Ajax akitokea kubahatisha kubeba CL basi ligi ya uholanzi ndo inakuwa ligi bora kwa msimu huu sio??
 
Unaposema ligi bora duniani unamaanisha nini? Mi nnachojua ligi bora inatoa timu bora pamoja na wachezaji bora duniani.
Bingwa wa UEFA mpaka sasa ni Madrid wa Europa ni Atletico Madrid...Madrid ilimfunga Liver fainali Atretico ilimfunga Arsenal nusu fainali......fanya utafiti hapa ligi gani ni bora.
Fainali za UEFA kati ya Manchester na Barcelona mara zote mbili Manchester kafungwa...Arsenal na Barca fainali Arsenal alifungwa..kati ya liver na Madrid liver alikufa...Fanya utafiti na hapa ujue ligi gani ni bora.

Msimu huu Manchester kesha pigwa na Barca na kutolewa Liver kashavuliwa kiatu kimoja hatoki(3-0 Mpira haudundi kwenye maji)...Huyo Liverpool kwenye ligi amepoteza mechi moja tu lakini kapigwa kikauzu na wakatalunya...bado huelewi tu?

Ligi bora ni ile waliocheza manabii wa ukweli wa soka kama kina Romalio...Luis Figo...Ronaldo Delima...Zinedine Zidane...Diego Maradona...Ronaldinho Gaucho...hao ni wachache tu kwa mfano...au kuna haja ya kumtaja na Messi ili uelewe.

Timu inayoongoza kwa ubabe Ulaya ni Madrid UCL 13 na Europa ni Sevila 5 Cups...huo ubora EPL unatoka wapi.
Ballon d' or nyingi kwa kipindi chote zinatoka laliga achana na hizi za miaka kumi mfululizo ambayo ya mwisho anayo Modric.
Club bora ya karne 20 ni Madrid....Tangu mwaka 2013 Kombe ya UEFA halijatoka tena spain mpaka sasa.
Kuna kipindi EPL ilianza kujitahidi lakini ilikua ni form tu which is temporary ila La liga ni Class.
 
Nitajie iyo nchi inayotazama la liga zaidi kuliko epl
Nchi za Latin America wanaangalia soka la Spain tu kwani wanaamini ndo unapochezwa mpira kitu ambacho ni kweli.kwanza legends wao ambao ndo legends wa mpira duniani wamecheza Spain na Italy siyo England.
 
LEO VALENCIA KALIMWA NGAPI NA ARSENAL ACHA UBISHI LALIGA NI TIMU TATU SIO LIGI NI TIMU TATU ZILIXODOMINATE UEFA KULINGANA HAWANA GAME NYING KAMA EPL KUNA FA CARABAO UEFA UEROPA WAO NI LALIGA NA UEFA/EL COPA DLAY YA WAWILI
Wewe sijui unaishi dunia gani?!! unapima ubora wa ligi kwa game moja ya leo!!
 
Kwahyo kwa mtazamo wako ww Ajax akitokea kubahatisha kubeba CL basi ligi ya uholanzi ndo inakuwa ligi bora kwa msimu huu sio??
Hapo kwenye red,huwezi kubahatisha ukiwa umelala,u have to do something to win something,Wazungu hawaamini bahati,wanaamini juhudi na maarifa,haya mambo ya kuamini bahati ni mambo ya watu wavivu na masikini.
 
Angalia sasa mnavyodanganyana nani kakwambia mimi shabiki wa Liverpool??Shida ni kwamba badala ya kudiscuss mada mnaanza kumjadili mtu mimi na ww tunajuana mkuu? kwahyo kwasababu nimepinga hoja yko basi ndo nakuwa shabiki wa Liver?mimi naongea ninacho amini mimi na ww unaongea unacho amini ww kwan ni lazima tukubaliane?? tujifunze kuheshimu mitazamo ya wengine! kufungwa liverpool mimi hakuniathiri chochote na wala haiprove mada yoyote humu!
Hapo kwenye red,Kumbe unaongea kwa "Kuamini" tu?! i thought una fact zozote! kumbe ni imani tu!?
 
Hapo kwenye red,huwezi kubahatisha ukiwa umelala,u have to do something to win something,Wazungu hawaamini bahati,wanaamini juhudi na maarifa,haya mambo ya kuamini bahati ni mambo ya watu uvivu na masikini.

Angalia ss unavyobadili mada nimekuuliza swali unashindwa kujibu, unaanza kuongea habari za wazungu na imani zao

Hapo kwenye red,Kumbe unaongea kwa "Kuamini" tu?! i thought una fact zozote! kumbe ni imani tu!?

Umetoka kuongea habari za wazungu wanachoamini alafu unarudi kuniuliza swali kama hilo upo sawa kweli ww??
 
Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL

1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi.

2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Epl ndo league bora na sidhani kama itakuja kufunikwa,ila vilevile epl sio ligi ilyotoa mabingwa wengi wa europa na uefa..
Utamu wa epl ni nyosso , the money around ni balaa.
Guardiola hajaibadilisha chochote epl,hio ligi kila baada ya maiaka kadha point za kubeba kombe znakua juu so nothing special about him na hutaskia popote kasifiwa kuhusu hili its normal in uk.
Epl ndo ligi pekee hata wakicheza team 4 za mwisho bado kuna amsha amsha ya soka wakati legue zingine zlzobaki ni top 4 mpaka 6 tu zna tazamwa sana
 
Kuna ligi bora na umaarufu wa timu au ligi
Kwasasa kwa viwango vya FIFA La Liga ndio inaongoza
Ila waingereza huwa nafanya promo sana kuvutia kwao ila kwa vigezo vya fifa La Liga almost ni miaka 10 sasa wako chat ya juu
 
Angalia ss unavyobadili mada nimekuuliza swali unashindwa kujibu, unaanza kuongea habari za wazungu na imani zao

Umetoka kuongea habari za wazungu wanachoamini alafu unarudi kuniuliza swali kama hilo upo sawa kweli ww??
Mkuu hii mada nadhani ipo nje ya uwezo wako wa uelewa,nimegundua hilo,hoja zako ni nyepesi sana,kama lengo lako ni kujadili tu ili usisahaulike kama na wewe upo humu jf,it's okay,keep it up.
 
Mkuu hii mada nadhani ipo nje ya uwezo wako wa uelewa,nimegundua hilo,hoja zako ni nyepesi sana,kama lengo lako ni kujadili tu ili usisahaulike kama na wewe upo humu jf,it's okay,keep it up.

Hahaha...Basi bwana yaishe mzee kila mtu abaki kuamini vile anavyoona yeye ni sawa!
 
Back
Top Bottom