rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
kwani we na morinho nani anaijuala liga vizuri.barca inaweza kuwa timu nzuri kuliko zote duniani.lakini yaweza kuwa inacheza katika ligi ya kike ulimwenguni.It was against Barca, first loss in home after going unbeaten for five years
It was against Barca Mourinho received biggest defeat of his career in the league.
So he is right it was Barca Vs Real,Real Vs Barca
Binafsi sikatae timu kubwa mbili duniani zinatoka La liga but sio the most competitive league
hawazipunguzi kwa kuwa zinawaingizia mpunga,hizi timu huvuma kwa vipindi tofauti.kuna timu iliwahi kuwa kama ac milanKiwango cha ligi ya Malkia kipo chini sana nadhani Uefa waangalie hata kupunguza Timu za uwakilishi kwa sasa..pamoja na ubovu wa ligi na timu zao lakini Barc watashinda mechi ya marudiano ya spain huko Emarates watafungwa..ni UEFA ile matokeo yoyote yanatokea..
Najiona mzungu,watumwa bwanaLigi ya wazungu unang'ang'ania ligi yenu, ligi yenu mpaka unataka kumwaga chozi. Wewe ligi yenu ni hii ya kina Yanga, Simba, Azam n.k.....
Mtoa mada umekurupuka, man u kafungwa na timu kutoka denmark na si sweeden. Na mashaka hata ulichoandika umekurupuka.Epl ni ligi maarufu tu.Arsenal aliishinda kwa taabu Lecester City wiki ilopita japo wale madogo walikua pungufu,Mancity amepigwa kirahisi mechi 2 mfululizo,Bingwa wenu bado anaburuzwa kwenye msimamo wa ligi yenu,Chelsea kapigwa na Psg,Manchester United Kigogo wenu mwingine Sasa anapigwa hata na watoto!kapoteza kwa Sunderland lakini pia jana Ligi ya europa kapigwa na ka timu ka Sweeden hata jina hakana!..Hizo ndio timu zenu kubwa mnazojivunia...mmekaa kiushabiki mnaiponda Lecester city eti kua haiwezi twaa kombe la epl..mnataka kulazimisha zishinde timu zilizochoka!poleni sana...Wiki ijayo sie mnaosema ligi yetu haina mvuto tunakutana na Arsenal sasa tusubiri siku ya siku tujiridhishe.
Mkuu huo sio ujinga, huo ndo utamu wenyewe huooooEPL ni ligi ya kipuuzi sana. Timu zote zina viwango sawa, viwango vidogo.
Bingwa mtetezi akikutana na Aston Villa matokeo hayajulikani watu wanakaa dakika 90 kusubiri. Ujinga kabisa huu.
Na huu ndio ushindaniEPL ni ligi ya kipuuzi sana. Timu zote zina viwango sawa, viwango vidogo.
Bingwa mtetezi akikutana na Aston Villa matokeo hayajulikani watu wanakaa dakika 90 kusubiri. Ujinga kabisa huu.
kwani we na morinho nani anaijuala liga vizuri.barca inaweza kuwa timu nzuri kuliko zote duniani.lakini yaweza kuwa inacheza katika ligi ya kike ulimwenguni.
ya spainEnglish and Italian teams in European competition this week: 0 win out of 10 games played.
Spanish teams: 6 win out of 6 games played.(all teams scored: 15 goals with cleansheet)
Sasa sema ligi ipi ya kike Ulimwenguni?
nyie mashabiki maandazi ambao mnasema mnafuatilia sana la liga wakati hamzijui hata timu zake jaribuni kutofautisha kati ya vitu hivi:
1: ligi bora
2: timu bora