EPL ni ligi dhaifu

EPL ni ligi dhaifu

hii ligi ya epl nimeidharau toka zamani maneno mengi hamna vitendo kama mpira ungekuwa unachezwa kwa maneno ingekuwa inaongoza
 
It was against Barca, first loss in home after going unbeaten for five years
It was against Barca Mourinho received biggest defeat of his career in the league.
So he is right it was Barca Vs Real,Real Vs Barca
Binafsi sikatae timu kubwa mbili duniani zinatoka La liga but sio the most competitive league
kwani we na morinho nani anaijuala liga vizuri.barca inaweza kuwa timu nzuri kuliko zote duniani.lakini yaweza kuwa inacheza katika ligi ya kike ulimwenguni.
 
Hawawe
Kiwango cha ligi ya Malkia kipo chini sana nadhani Uefa waangalie hata kupunguza Timu za uwakilishi kwa sasa..pamoja na ubovu wa ligi na timu zao lakini Barc watashinda mechi ya marudiano ya spain huko Emarates watafungwa..ni UEFA ile matokeo yoyote yanatokea..
hawazipunguzi kwa kuwa zinawaingizia mpunga,hizi timu huvuma kwa vipindi tofauti.kuna timu iliwahi kuwa kama ac milan
 
Arsenal aliishinda kwa taabu Lecester City wiki ilopita japo wale madogo walikua pungufu,Mancity amepigwa kirahisi mechi 2 mfululizo,Bingwa wenu bado anaburuzwa kwenye msimamo wa ligi yenu,Chelsea kapigwa na Psg,Manchester United Kigogo wenu mwingine Sasa anapigwa hata na watoto!kapoteza kwa Sunderland lakini pia jana Ligi ya europa kapigwa na ka timu ka Sweeden hata jina hakana!..Hizo ndio timu zenu kubwa mnazojivunia...mmekaa kiushabiki mnaiponda Lecester city eti kua haiwezi twaa kombe la epl..mnataka kulazimisha zishinde timu zilizochoka!poleni sana...Wiki ijayo sie mnaosema ligi yetu haina mvuto tunakutana na Arsenal sasa tusubiri siku ya siku tujiridhishe.
Mtoa mada umekurupuka, man u kafungwa na timu kutoka denmark na si sweeden. Na mashaka hata ulichoandika umekurupuka.Epl ni ligi maarufu tu.
 
Utasikia sifuatilii EPL lakini anazijua timu zote 20 kwa majina na wachezaji wake bila kusahau ratiba ya EPL ila ukimuuliza kuhusu La Liga ambayo anadai anaifuatilia anazijua timu mbili tu Barca na Madrid na anaishia kuangalia game za Barca au Madrid,huu unafiki mkubwa maana mpaka game ya dhaifu Arsenal na Leicester City aliifuatilia na bila kusahau alikomaa na Europa kuwatazama Man Utd duh acha nisubiri muda nikawaone Arsenal na Hull city mimi.
 
EPL ni ligi ya kipuuzi sana. Timu zote zina viwango sawa, viwango vidogo.

Bingwa mtetezi akikutana na Aston Villa matokeo hayajulikani watu wanakaa dakika 90 kusubiri. Ujinga kabisa huu.
Mkuu huo sio ujinga, huo ndo utamu wenyewe huoooo
 
People love to downgrade La Liga and talk about only "two teams". Fact is, Spanish football is the dominant force in Europe.

Note: Without Real Madrid and Barcelona, La Liga still leads in European title wins (7) since the 1999/2000 season.

Most European titles since 2000:
1. La Liga (14).
2. Premier League (5).
3. Serie A (3).
4. Primeira Liga (3).
5. Bundesliga (2).
 
The quality of Spanish football! (Only this week)

12717152_10154562455584745_5340414128025812692_n.jpg
 
EPL ni kama CCM yaani kelele nyingii lakini zero kabisa.
 
EPL ni ligi ya kipuuzi sana. Timu zote zina viwango sawa, viwango vidogo.

Bingwa mtetezi akikutana na Aston Villa matokeo hayajulikani watu wanakaa dakika 90 kusubiri. Ujinga kabisa huu.
Na huu ndio ushindani
 
kwani we na morinho nani anaijuala liga vizuri.barca inaweza kuwa timu nzuri kuliko zote duniani.lakini yaweza kuwa inacheza katika ligi ya kike ulimwenguni.


English and Italian teams in European competition this week: 0 win out of 10 games played.

Spanish teams: 6 win out of 6 games played.(all teams scored: 15 goals with cleansheet)

Sasa sema ligi ipi ya kike Ulimwenguni?
 
English and Italian teams in European competition this week: 0 win out of 10 games played.

Spanish teams: 6 win out of 6 games played.(all teams scored: 15 goals with cleansheet)

Sasa sema ligi ipi ya kike Ulimwenguni?
ya spain
 
nyie mashabiki maandazi ambao mnasema mnafuatilia sana la liga wakati hamzijui hata timu zake jaribuni kutofautisha kati ya vitu hivi:
1: ligi bora
2: timu bora

ligi bora duniani ni EPL na timu bora zenye viwango vizuri nyingi zinatoka spain.Asernal/man u/man city/chelsea akikutana hata na valencia ya spain atastrago sana kumfunga lakini hiyo sio sifa ya kuhalalisha kuwa la liga ni bora kuliko epl.sababu hapo ni kuwa ubora watimu za epl uko chini ya timu za la liga, but ukija kwenye ubora/ushindani/umaarufu/utajiri/promo etc epl iko juu ya ligi zote duniani.fanya mambo madogo tu kulinganisha hili, cheki miaka 10 nyuma timu za epl/la liga zilizoshinda ubingwa then linganisha takwimu zake like points/mechi walizoshinda/shindwa/magoli ya kufunga au kufungwa etc uangalie ni wapi wamezidi kwa kila kitu.ni rahisi zaidi kutabiri mechi ya barca akienda malaga kuliko kutabiri mechi ya arsenal akienda kwa crysto palesi.....though unawezakuta zote hizo arsenal na crysto palesi zikienda kwa malaga zitachezea kichapo kizuri tu.sijui kama pointi yangu imeeleweka hapo.
 
kuna msemo ukiona mtua anakandia kitu fulani juwa anakitamani sana,achane unafiki nyie ndo wa kwanza kuangalia mechi za epl, halfu mashabiki wa la liga ndo wakwanza kwa hiyo topic simuangalie ligi yenu kwan lazima ku compare na epl?mbona hamuizungumzi ligi one?acheni unafiki
 
nyie mashabiki maandazi ambao mnasema mnafuatilia sana la liga wakati hamzijui hata timu zake jaribuni kutofautisha kati ya vitu hivi:
1: ligi bora
2: timu bora


Tunafuatilia la liga, tunaishi la liga, fixture tunazijua na tunazijua timu za la liga kuliko wewe unavyozijua za EPL, labda useme jingine. Sio watu wote wanaishi under the rock kama wewe, unajua tu EPL kwasababu media za Mengi na Bakhresa ndio zinazokuuzia.

Hapo kwenye namba 1 na 2 ni hivi, huwezi kuwa na ligi bora kama huna timu bora. Ukisema EPL haina timu bora lakini ligi yake ni bora utakuwa unachekesha. Huwezi kusema shamba langu ni zuri sema tu mazao hayastawi. Jaribu kufanya reasoning ya maana utu-convince labda tutakuelewa, acha kutoa sababu za kijuu juu.
 
Back
Top Bottom