EPL ni ligi dhaifu

EPL ni ligi ya kipuuzi sana. Timu zote zina viwango sawa, viwango vidogo.

Bingwa mtetezi akikutana na Aston Villa matokeo hayajulikani watu wanakaa dakika 90 kusubiri. Ujinga kabisa huu.
Hii comment ya kijinga sana, ndio maana binadamu tunapenda the unpredictability, sasa kama mayokeo unayajua, unaangalia nini? Au unasubiri uone magoli yatafungwaje na nani atafunga?
Raha ya mchezo ni kuwa competitive.
 
Hii comment ya kijinga sana, ndio maana binadamu tunapenda the unpredictability, sasa kama mayokeo unayajua, unaangalia nini? Au unasubiri uone magoli yatafungwaje na nani atafunga?
Raha ya mchezo ni kuwa competitive.

Nakubali EPL ni ligi yenye ushindani ila ni ushindani wa wajinga.

Anayejua na asiyejua wakikutana hapawezi kuwa na ushindani. Ushindani unakuwepo endapo wote mnajua au wote hamjui.

Haiwezekani Chelsea, Man City zikutane na AFC Bournemouth watoane jasho useme ni ushindani. Ni ujinga.

Kwenye La Liga anayejua anajua na asiyejua hajui that's why wakikutana asiyejua anachapwa ila wanapokutana monsters wawili kwenye La Liga siku hiyo panachimbika.

Cc; PAIN KILLER.
 
Ila Chelsea, Mancity, liver, spurs, na Manu Inapeta ulaya ktk mashindano.
P.s: huo ni mtazamo wako pia huu ni mtazamo wangu.
EPL ina burudisha zaidi, hata betting companies wanajua.
 
Jose, ni kiazi! Hizo team za spain anazoziona ndogo, kila zikikutana na za England, zinawafunga! Leo Europe league ina 5 kutoka Spain, Champions League zipo 3. Hapo ukiangalia kuna possibility ya hivyo vikombe viwili kuchukuliwa na team za Spain. England matangazo tu, na team zote zina viwango vya kufanana.

Spain ndio Barcelona, Real Madrid na A.Madrid zina wachezaji wazuri na bora duniani kwa nn zisitawale soka la Ulaya!? Hata hizo zinazobaki viwango vyake ni sawa na team zote ndani la league ya EPL...!
 
Ila Chelsea, Mancity, liver, spurs, na Manu Inapeta ulaya ktk mashindano.
P.s: huo ni mtazamo wako pia huu ni mtazamo wangu.
EPL ina burudisha zaidi, hata betting companies wanajua.
Europe league 5 kutoka Spain zimeingia 16 bora, Champions league 3 za spain zipo kwenye mtoano. Hizo za England 2 zimeshaga mashindano (Chelsea na Arsenal)

England hakuna soka, ni maneno mengi kama bongo, mwisho wa siku tunaishi kuwa watu wa league ndan tu...!
 
Hebu tulijibu swali hili EPL ni dhaifu ukilinganisha na IPI?
 
Concentrate na ligi kuu ya hapa nchini kwani wewe mwingereza? Hata ukilalamika hununui tkt kuingia kwenye uwanja wowote au kununua sare ambacho ndicho chanzo kikubwa cha kuwaingizia mapato. Nunua jezi za yanga, kagera sugar, mtibwa achana na ligi za UK ukizidiwa angalia za china umwone Drogba au uturuki umwone Samatta kwanini unaangalia mpira wa watu huwajui na unakandia. They do not care a shit about your footy here.
 
Hebu tulijibu swali hili EPL ni dhaifu ukilinganisha na IPI?
EPL ni dhaifu ukilinganisha na La liga, Bundasliga hata ligi ya Italy ni bora. EPL inalingana na ligi ya Ufaransa, ambayo hata sasa inaanza kumove on....
 
Waje EPL hao Barca na Real kama hawatachukua mtungo kama kawa.
usisumbuke sana ngoja aje Pep uone kama anaweza kuchukua kombe EPL kwa misimu mingapi sijui mfulizo akitoa vichapo hovyo hovyo kwa timu za EPL na kuongoza ligi kwa mapointi mengi mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…