NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
kwani huo mda ulioangalia wewe barca na real wamewahi kushiriki ligi ya uingereza.Mpira umeanza kuangalia lini mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani huo mda ulioangalia wewe barca na real wamewahi kushiriki ligi ya uingereza.Mpira umeanza kuangalia lini mkuu
Ni wewe uliyeulizwa???kwani huo mda ulioangalia wewe barca na real wamewahi kushiriki ligi ya uingereza.
ha ha ha mada ni yakoNi wewe uliyeulizwa???
mwaka huu...Mpira umeanza kuangalia lini mkuu
Hii comment ya kijinga sana, ndio maana binadamu tunapenda the unpredictability, sasa kama mayokeo unayajua, unaangalia nini? Au unasubiri uone magoli yatafungwaje na nani atafunga?EPL ni ligi ya kipuuzi sana. Timu zote zina viwango sawa, viwango vidogo.
Bingwa mtetezi akikutana na Aston Villa matokeo hayajulikani watu wanakaa dakika 90 kusubiri. Ujinga kabisa huu.
Hii comment ya kijinga sana, ndio maana binadamu tunapenda the unpredictability, sasa kama mayokeo unayajua, unaangalia nini? Au unasubiri uone magoli yatafungwaje na nani atafunga?
Raha ya mchezo ni kuwa competitive.
Ila Chelsea, Mancity, liver, spurs, na Manu Inapeta ulaya ktk mashindano.Nakubali EPL ni ligi yenye ushindani ila ni ushindani wa wajinga.
Anayejua na asiyejua wakikutana hapawezi kuwa na ushindani. Ushindani unakuwepo endapo wote mnajua au wote hamjui.
Haiwezekani Chelsea, Man City zikutane na AFC Bournemouth watoane jasho useme ni ushindani. Ni ujinga.
Kwenye La Liga anayejua anajua na asiyejua hajui that's why wakikutana asiyejua anachapwa ila wanapokutana monsters wawili kwenye La Liga siku hiyo panachimbika.
Cc; PAIN KILLER.
Jose, ni kiazi! Hizo team za spain anazoziona ndogo, kila zikikutana na za England, zinawafunga! Leo Europe league ina 5 kutoka Spain, Champions League zipo 3. Hapo ukiangalia kuna possibility ya hivyo vikombe viwili kuchukuliwa na team za Spain. England matangazo tu, na team zote zina viwango vya kufanana.Jose will yo go back to La liga?
"I always say that i need competition and i need competition every week and in spain i was at an amazing club but i had four matches a year Barcelona vs Real Madrid,Real Madrid Vs Barcelona and after that we'd win 4-0,5-0,4-1,6-1.
Jose akaulizwa kama ndo hivyo kwanini hakushinda La liga kila mwaka
"It was difficult to win because two monsters are together,but it was easy to win matches,difficut to win the league because you are competing against another team that also win and win and win like you do,so in the end i was champion in spain with 100 points and i lost a league in spain with 91 points.
In England you can win the leagues with 75 points,maybe less,so i needed competition."
Europe league 5 kutoka Spain zimeingia 16 bora, Champions league 3 za spain zipo kwenye mtoano. Hizo za England 2 zimeshaga mashindano (Chelsea na Arsenal)Ila Chelsea, Mancity, liver, spurs, na Manu Inapeta ulaya ktk mashindano.
P.s: huo ni mtazamo wako pia huu ni mtazamo wangu.
EPL ina burudisha zaidi, hata betting companies wanajua.
Hebu tulijibu swali hili EPL ni dhaifu ukilinganisha na IPI?Europe league 5 kutoka Spain zimeingia 16 bora, Champions league 3 za spain zipo kwenye mtoano. Hizo za England 2 zimeshaga mashindano (Chelsea na Arsenal)
England hakuna soka, ni maneno mengi kama bongo, mwisho wa siku tunaishi kuwa watu wa league ndan tu...!
Concentrate na ligi kuu ya hapa nchini kwani wewe mwingereza? Hata ukilalamika hununui tkt kuingia kwenye uwanja wowote au kununua sare ambacho ndicho chanzo kikubwa cha kuwaingizia mapato. Nunua jezi za yanga, kagera sugar, mtibwa achana na ligi za UK ukizidiwa angalia za china umwone Drogba au uturuki umwone Samatta kwanini unaangalia mpira wa watu huwajui na unakandia. They do not care a shit about your footy here.Arsenal aliishinda kwa taabu Lecester City wiki ilopita japo wale madogo walikua pungufu,Mancity amepigwa kirahisi mechi 2 mfululizo,Bingwa wenu bado anaburuzwa kwenye msimamo wa ligi yenu,Chelsea kapigwa na Psg,Manchester United Kigogo wenu mwingine Sasa anapigwa hata na watoto!kapoteza kwa Sunderland lakini pia jana Ligi ya europa kapigwa na ka timu ka Sweeden hata jina hakana!..Hizo ndio timu zenu kubwa mnazojivunia...mmekaa kiushabiki mnaiponda Lecester city eti kua haiwezi twaa kombe la epl..mnataka kulazimisha zishinde timu zilizochoka!poleni sana...Wiki ijayo sie mnaosema ligi yetu haina mvuto tunakutana na Arsenal sasa tusubiri siku ya siku tujiridhishe.
EPL ni dhaifu ukilinganisha na La liga, Bundasliga hata ligi ya Italy ni bora. EPL inalingana na ligi ya Ufaransa, ambayo hata sasa inaanza kumove on....Hebu tulijibu swali hili EPL ni dhaifu ukilinganisha na IPI?
usisumbuke sana ngoja aje Pep uone kama anaweza kuchukua kombe EPL kwa misimu mingapi sijui mfulizo akitoa vichapo hovyo hovyo kwa timu za EPL na kuongoza ligi kwa mapointi mengi mengi.Waje EPL hao Barca na Real kama hawatachukua mtungo kama kawa.