EPL ni ligi nyepesi, Guardiola ametwaa taji bila ya kuwa na "Natural Striker"

EPL ni ligi nyepesi, Guardiola ametwaa taji bila ya kuwa na "Natural Striker"

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Wakuu, leo nimekuja na mjadala. Man City wametwaa ubingwa wao wa EPL na leo wamekabidhiwa ndoo yao. Cha kushangaza kocha Guardiola amekiongoza kikosi hiko kutwaa ubingwa bila ya kuwa na namba 9 asilia. Karibu msimu mzima Aguero alikuwa majeruhi, Gabriel Jesus kacheza mechi chache kutokana na fomu yake kuwa mbaya.

Hivyo Guardiola akawa anatumia mfumo wa viungo watupu huku akimtumia KDB na Foden kama false 9.

Je hiyoni kudhihirisha epl ni ligi nyepesi au Guardiola ni master tactician?
 
Kwani huyo pep huwa anaingiza team yenye wachezaji wangap? Km huwa wako pungufu nitakubaliana na wewe ila km idadi sawa ni suala la majukum tu na mfumo.

Hivyo acha ujuha dogo na unasemaje kuhusu UEFA kafika final na kuwapiga wababe wa ligi zako ngumu.
 
Mechi 29 amecheza Jesus kati ya 38, sijui hizo data za Alikuwa majeruhi kipindi kirefu umezitoa wapi.
 
Kwani huyo pep huwa anaingiza team yenye wachezaji wangap? Km huwa wako pungufu nitakubaliana na wewe ila km idadi sawa ni suala la majukum tu na mfumo.
Hivyo acha ujuha dogo na unasemaje kuhusu UEFA kafika final na kuwapiga wababe wa ligi zako ngumu.

Toa hoja, taarabu kaimbe kwa mumeo
 
Jiulize izo ngumu zako fainal ya Uefa atuioni ata moja sasa sijui wepesi ukwapi.
hapo

Madrid out.

Munich out.

Madrid out.

Barcelona out.

Juventus out.

PSG out
 
Kama unadhani kucheza bila namba tisa ni kazi nyepesi waambie Man Utd, Chelsea, Spurz, na wengine wacheze bila namba 9 halafu uone kitachowakuta.

Guardiola ana hicho kiburi coz ana magoli from all angles, anzia Sterling, B. Silva, Mahrez, Foden, Gundogan, de Bruyne, mpk wale mabeki sometimes wanafunga magoli ya vichwa, magoli ya hao ndio yamewapa City ubingwa, sasa niambie timu gani EPL yenye hicho kiburi cha Man City.

Hapo Mahrez, Foden, De Bruyne, na Gundogan wote wamefunga magoli zaidi ya kumi msimu huu, hata huyo Aguero ambae alikuwa hachezi nae atakuwa ana karibia magoli kumi kama sio amezidi kumi kabisa, bado kuna Jesus nae ana magoli yake.

Ile City ni moto wa kuotea mbali, nawasubiri hao Chelsea waliotolewa jasho na Aston Villa leo next Saturday wakachezeshwe rhumba kwenye final ya CL.
 
Ana goli ngapi?
Usha badili topic tena? Wewe ulisema walicheza bila Natural striker. Ana Goli 9.

Mifumo mingi ya kisasa Striker a Nakuwa ni link ya Inside Forward,
-Benzema alikuwa Link ya Ronaldo na Bale
-Barcelona ya huyu Huyu Pep Villa alikuwa mchezeshaji wa Kina Messi na Pedro.
-Man united 2008 Rooney alikuwa ni mtengenezaji wa Ronaldo
-juventus Sasa hivi Morata ni mchezeshaji zaidi kuliko Mfungaji etc

Mwaka jana pia Liverpool katwaa Ubingwa Firminho striker ambaye kazi yake si kufunga,

Haya mambo hayajaanza leo yapo miaka na Miaka.
 
Kwamba man city walikua wanaingia 10 uwanjani bila ya striker??

Guardiola ana sababu zake za kutomchezesha Aguero
 
Hiz threads zinaanzishwa mara nyingi na watu wenye misongo ya mawazo iliyosababishwa na kubet pesa ya matumiz au ada za shule au vyuo
 
Back
Top Bottom