Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wakuu, leo nimekuja na mjadala. Man City wametwaa ubingwa wao wa EPL na leo wamekabidhiwa ndoo yao. Cha kushangaza kocha Guardiola amekiongoza kikosi hiko kutwaa ubingwa bila ya kuwa na namba 9 asilia. Karibu msimu mzima Aguero alikuwa majeruhi, Gabriel Jesus kacheza mechi chache kutokana na fomu yake kuwa mbaya.
Hivyo Guardiola akawa anatumia mfumo wa viungo watupu huku akimtumia KDB na Foden kama false 9.
Je hiyoni kudhihirisha epl ni ligi nyepesi au Guardiola ni master tactician?
Hivyo Guardiola akawa anatumia mfumo wa viungo watupu huku akimtumia KDB na Foden kama false 9.
Je hiyoni kudhihirisha epl ni ligi nyepesi au Guardiola ni master tactician?