Kama unadhani kucheza bila namba tisa ni kazi nyepesi waambie Man Utd, Chelsea, Spurz, na wengine wacheze bila namba 9 halafu uone kitachowakuta.
Guardiola ana hicho kiburi coz ana magoli from all angles, anzia Sterling, B. Silva, Mahrez, Foden, Gundogan, de Bruyne, mpk wale mabeki sometimes wanafunga magoli ya vichwa, magoli ya hao ndio yamewapa City ubingwa, sasa niambie timu gani EPL yenye hicho kiburi cha Man City.
Hapo Mahrez, Foden, De Bruyne, na Gundogan wote wamefunga magoli zaidi ya kumi msimu huu, hata huyo Aguero ambae alikuwa hachezi nae atakuwa ana karibia magoli kumi kama sio amezidi kumi kabisa, bado kuna Jesus nae ana magoli yake.
Ile City ni moto wa kuotea mbali, nawasubiri hao Chelsea waliotolewa jasho na Aston Villa leo next Saturday wakachezeshwe rhumba kwenye final ya CL.