EPL ni ligi nyepesi, Guardiola ametwaa taji bila ya kuwa na "Natural Striker"

Hizo ligi ngumu zenye natural striker kwenye timu zao mbona zina demka tuu kwenye mashindano ya UEFA misimu 3 mfululizo huku ligi nyepesi ikiendelea kutamba?
 
Nasikia pep anataka kuja na style mpya ,ya "false goalkeeper"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
EPL TUMEPIGWA HAKUNA LEAGUE HAPO
 
Hizo ligi ngumu zenye natural striker kwenye timu zao mbona zina demka tuu kwenye mashindano ya UEFA misimu 3 mfululizo huku ligi nyepesi ikiendelea kutamba?

Kama kigezo ni UEFA bas nchi iliyochukua mara nyingi ndio iwe ligi bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…