Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
- Thread starter
- #21
Hiz threads zinaanzishwa mara nyingi na watu wenye misongo ya mawazo iliyosababishwa na kubet pesa ya matumiz au ada za shule au vyuo
Tuma salam kwa watu watatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiz threads zinaanzishwa mara nyingi na watu wenye misongo ya mawazo iliyosababishwa na kubet pesa ya matumiz au ada za shule au vyuo
EPL TUMEPIGWA HAKUNA LEAGUE HAPOWakuu, leo nimekuja na mjadala. Man City wametwaa ubingwa wao wa EPL na leo wamekabidhiwa ndoo yao. Cha kushangaza kocha Guardiola amekiongoza kikosi hiko kutwaa ubingwa bila ya kuwa na namba 9 asilia. Karibu msimu mzima Aguero alikuwa majeruhi, Gabriel Jesus kacheza mechi chache kutokana na fomu yake kuwa mbaya.
Hivyo Guardiola akawa anatumia mfumo wa viungo watupu huku akimtumia KDB na Foden kama false 9.
Je hiyoni kudhihirisha epl ni ligi nyepesi au Guardiola ni master tactician?
Hizo ligi ngumu zenye natural striker kwenye timu zao mbona zina demka tuu kwenye mashindano ya UEFA misimu 3 mfululizo huku ligi nyepesi ikiendelea kutamba?