Gap lilikuwa zaiđ ya ilö kipindi yupo mourihno na man u ilikuwa nafasi ya 7 hapo ni ndani ya miez 2 tù sasa timu ipo tòp 4. Subirini tu maalamu mpindua meza maarufu Ole Gunnar atawashangaza kama alivyowahi fańya kwenye fainal ya UCL dhidi ya Bayern MunichSahau
Huyo Man U kapitwa point zaidi ya kumi na Liverpool na zimebaki mechi kumi tu ligi iishe
Gap lilikuwa zaiđ ya ilö kipindi yupo mourihno na man u ilikuwa nafasi ya 7 hapo ni ndani ya miez 2 tù sasa timu ipo tòp 4. Subirini tu maalamu mpindua meza maarufu Ole Gunnar atawashangaza kama alivyowahi fańya kwenye fainal ya UCL dhidi ya Bayern Munich
Hii kwenye mtihani tunaiita OP,yan umetoka nje ya key kwenye mziki...Kwa lugha nyepesi tunasema umetoka nje ya mada tunazungumzia Liverpool na Manchester CityUbingwa niwa Man U anakuja kwa kasi ya hatari mno
Ubingwa unaitaka Liverpool mkuu..!Ubingwa wa EPL 2018/2019 unawakataa Manchester city 'The Cityzens'
Hivi sasa tunapoongea wachezaji wanne muhimu ikiwamo na mabeki wa kati muhimu wote wapo majeruhi na viungo wawili muhimu mno pia majeruhi
Kelvin De Bruyne, Fernandinho, Aymeric Laporte na John Stones ni majeruhi hivi sasa ninavyoongea.
Ubingwa EPL 2018/2019 unaitaka Liverpool bila shaka
March 3, 2019Ubingwa niwa Man U anakuja kwa kasi ya hatari mno