EPL title ya mwaka huu inaikataa Manchester city 'The Cityzens'; Kelvin DeBruyne, Fernandinho na Aymeric Laporte ni majeruhi hivi sasa

Ubingwa kwenda Anfield?

  • Total voters
    11
  • Poll closed .

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,490
Reaction score
7,422
Ubingwa wa EPL 2018/2019 unawakataa Manchester city 'The Cityzens'

Hivi sasa tunapoongea wachezaji wanne muhimu ikiwamo na mabeki wa kati muhimu wote wapo majeruhi na viungo wawili muhimu mno pia majeruhi

Kelvin De Bruyne, Fernandinho, Aymeric Laporte na John Stones ni majeruhi hivi sasa ninavyoongea.

Ubingwa EPL 2018/2019 unaitaka Liverpool bila shaka
 
Sahau

Huyo Man U kapitwa point zaidi ya kumi na Liverpool na zimebaki mechi kumi tu ligi iishe
Gap lilikuwa zaiđ ya ilö kipindi yupo mourihno na man u ilikuwa nafasi ya 7 hapo ni ndani ya miez 2 tù sasa timu ipo tòp 4. Subirini tu maalamu mpindua meza maarufu Ole Gunnar atawashangaza kama alivyowahi fańya kwenye fainal ya UCL dhidi ya Bayern Munich
 
Msimu upi unasemea?
 
Liverfool pole pole naona mumeanza kuachia webabe wachukue vikombe,

Historia yenu tunayo, mnaishiaga kuongoza league, ubingwa wanachukua wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubingwa niwa Man U anakuja kwa kasi ya hatari mno
Hii kwenye mtihani tunaiita OP,yan umetoka nje ya key kwenye mziki...Kwa lugha nyepesi tunasema umetoka nje ya mada tunazungumzia Liverpool na Manchester City
 
Ubingwa wa EPL 2018/2019 unawakataa Manchester city 'The Cityzens'

Hivi sasa tunapoongea wachezaji wanne muhimu ikiwamo na mabeki wa kati muhimu wote wapo majeruhi na viungo wawili muhimu mno pia majeruhi

Kelvin De Bruyne, Fernandinho, Aymeric Laporte na John Stones ni majeruhi hivi sasa ninavyoongea.

Ubingwa EPL 2018/2019 unaitaka Liverpool bila shaka
Ubingwa unaitaka Liverpool mkuu..!
Sijui kwanini wanachelewa kuuchukua..!?
 
Ubingwa bado utaenda jiji la Manchester
 
Back
Top Bottom