EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?

aya ndo mambo ya msingi ivi kwa nini barabarani wasiweke epoxy nipake zangu mapovu miguuni niwe nateleza mpaka karume job@.
 
Nimeona matumizi yake makubwa kwenye maabara za kisasa.
 
Nimeona matumizi yake makubwa kwenye maabara za kisasa.
Ndio ndio maabara , vyumba vya upasuaji na viwandani aina hii inachukua nafasi kubwa sana
Kwa sababu ya trend pia imeaanza kuwa adopted kwenye matumizi ya kawaida
 
Gharama zenu zikoje na pls onyesha baadhi ya kazi ambazo mmeshazifanya, mambo ya tiles na terrazzo hayana options nyingi za kurembesha floors kama ulivyo epoxy.
Kuna mtu alinieleza kuwa kwa TZ gharama ziko juu sana, clarify this for me please.
 
Ina trend sana sasa? Mbona ipo kitambo kiongozi? Labda kama ina trend Tanzania.

 
Gharama zenu zikoje na pls onyesha baadhi ya kazi ambazo mmeshazifanya, mambo ya tiles na terrazzo hayana options nyingi za kurembesha floors kama ulivyo epoxy.
Kuna mtu alinieleza kuwa kwa TZ gharama ziko juu sana, clarify this for me please.
Tuliyonayo ni self levelling ya basf bei yake 660k tzs inakuwa 4k namaanisha part nne, mbili primer coat na mbili zingine ni top coat primer coat ni ya msingi sana kwa sababu inatumika popote unapoweka epoxy floor iwe decoration au aina nyingine yoyote kwa hiyo unaweza kununua primer coat pekee bei ya around 500k tzs top coat ukachagua aina kulingana na eneo husika coverage yake ni square meter nane mpak tisa kwa kit moja.
 
Gharama zenu zikoje na pls onyesha baadhi ya kazi ambazo mmeshazifanya, mambo ya tiles na terrazzo hayana options nyingi za kurembesha floors kama ulivyo epoxy.
Kuna mtu alinieleza kuwa kwa TZ gharama ziko juu sana, clarify this for me please.
Tuliyonayo ni self levelling ya basf bei yake 660k tzs inakuwa 4k namaanisha part nne, mbili primer coat na mbili zingine ni top coat primer coat ni ya msingi sana kwa sababu inatumika popote unapoweka epoxy floor iwe decoration au aina nyingine yoyote kwa hiyo unaweza kununua primer coat pekee bei ya around 500k tzs top coat ukachagua aina kulingana na eneo husika coverage yake ni square meter nane mpak tisa kwa kit moja
Uimara na durability, ni resistant kwa vitu vingi kama kemikali na moto if I'm not mistaken.
Uko sahihi
Kweli kwa sifa ni bora zaidi ukilinganisha na tiles .
UPande wa gharama ,kuendena na wakati kila mmoja ana falsafa yake
 
Hizo ni baadhi ya epoxy tulizofanya viwandani maeneo tofauti hii ni self levelling epoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…