Tuliyonayo ni self levelling ya basf bei yake 660k tzs inakuwa 4k namaanisha part nne, mbili primer coat na mbili zingine ni top coat primer coat ni ya msingi sana kwa sababu inatumika popote unapoweka epoxy floor iwe decoration au aina nyingine yoyote kwa hiyo unaweza kununua primer coat pekee bei ya around 500k tzs top coat ukachagua aina kulingana na eneo husika coverage yake ni square meter nane mpak tisa kwa kit moja
Uko sahihi
Kweli kwa sifa ni bora zaidi ukilinganisha na tiles .
UPande wa gharama ,kuendena na wakati kila mmoja ana falsafa yake