EPRA Yapandisha Bei ya Mafuta: Petrol +KSh 12.93, Kerosene +KSh 28.49

EPRA Yapandisha Bei ya Mafuta: Petrol +KSh 12.93, Kerosene +KSh 28.49

Ikariiah

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
287
Reaction score
314
Mamlaka ya kudhibiti kawi(EPRA) imetangaza kuongeza bei ya mafuta kama ifuatavyo:

1)Super petroli: +KSh 12.93 kwa lita.
2)Diseli: +KSh 9.90 kwa lita.
3)Mafuta taa,Kerosene: +KSh 28.49 kwa lita.

Elewa kuwa Jiji la Nairobi, bei za juu zinazokubalika kwa lita ni KSh 226.96 kwa petroli, KSh 227.76 kwa diseli na KSh 219.85 kwa mafuta ya taa.

Mkurugenzi Mkuu wa EPRA, Edward Mwirigi Kinyua, amesema Septemba ulikuwa mwezi mgumu zaidi tangu kuanza kwa mzozo wa Mashariki ya Kati, huku gharama za kimataifa za mafuta zikipanda.

Ongezeko hili linaweza kuongeza shinikizo kwa nauli na gharama za kusafirisha bidhaa. Bei ya mafuta inapopanda, gharama ya maisha hufuata.

Serikali inapaswa kufanya nini kuwalinda wananchi dhidi ya ongezeko hili?
 
Back
Top Bottom