Habari wakuu,
Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya mwisho ya kisheria 31/03/2025 ili kuepeka adhabu na usumbufu katika biashara.
Ni kweli Boss wangu Ila Kama ungekuwa na Biashara au mfanyabiashara unfree umuhimu wa mshauri wa kodi au Mhasibu sababu kuna mambo mengi kwenye biashara yanahitaji ushauri wa kitaalamu