Habari wakuu,
Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya mwisho ya kisheria 31/03/2025 ili kuepeka adhabu na usumbufu katika biashara.
Mkuu nalipa maana mimi nalipa kodi kwani hauwezi kuwa tax consultant bila kulipa kodi maana laziwa usajili na TRA na kupitia huduma mbalimbali nazofanya kuna kodi zuio yaani withholding tax