"A third of global deaths are due to MD prescriptions", walisema maprofesa wawili wa marekani!
Pia madakatri wengine wako kwenye payrolls za pharmaceutical companies, anakuandikia dawa hata usiyohitaji, ili mradi yeye muamala uingie!
Sitamsahau daktari niliyemuomba anicheki kichwa akagoma na kusema nisimfundishe kazi, akaniandikia dawa ya wiki eti baadaye nirudi; kuja ku-google, ni dawa ya kifafa, ina side effects kibao, nyingine life long! I don't trust them medics, wamekuwa mno money minded, na kusahau viapo na ethics za kazi zao!