Epuka Makosa Yafuatayo Kama Umeamua kuanza Biashara ya Cryptocurrency

Uko sahihi sana. Huyo Satoshi mwenyewe si mtu bali jina limetumika tu kuwakilisha taasisi fulani au serikali fulani.
 
Naomba Elimu zaidi,maana nimeona umekwiva katika idara hii mm ni beginner
 
huwa najiuliza itakuwaje kama hilo soko litazimwa ghafla,
maana mmiliki wake ni mjanjamjanja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…