Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
1. Usinyoe nywele sehemu za siri.
2. Usile chakula kingi Muda mfupi kabla ya kuelekea kumpelekea moto au kupelekewa moto(kugongwa).
3. Usije ukanywa dawa za maumivu ikiwa unahali ya kuumwa/Homa achana na kufanya tendo hilo Hadi hapo hali itakapotengemaa.
4. Usile vitu au vyakula vyenye viungo vikali.