Swali zuri.
Kitaalamu
1. Ukila chakula kingi(ukishiba) utaumiza na kuijeruhi mifumo Chakata ya kuchakata chakula Kwa kuwa kinachotakiwa si kufanya kazi za nje Bali mwili utakuwa unafanyea kazi kusaga chakula. Ni hatari Kwa Kuwa utasababisha magonjwa yasiyoyakuambukiza. Lakini pia hutamudu tendo Kwa ufasaha. Inatakiwa unaakula kias kidg tu
2. Unapokunywa dawa. Ina maana mwili hauko Tayari kufanyakaz yake, isipokuwa Kwa nguvu ya dawa. Ni sawa na anayetumia dawa za kuongeza nguvu jambo ambalo si sahihi. Mwili utakosa nguvu za asili.
3. Kunyoa mavizu ni hatar Kwa sababu skinhole zitakuwa wazi kuweza kusababisha partner akakuambukiza STDs. Upo uwezekano baada ya sex ukiwa hujanyoa na ikiwa mmoja wenu anaumwa ukiwahi ukanawa maji ya kutosha na sabuni ukaepuka maambukizi.
4. Vyakula vyenye viungo huondoa uasili wa kazi unayoenda kuifanya.